Home Authors Posts by admin

admin

24376 POSTS 9 COMMENTS

KOCHA WA ASTON VILLA ATHIBITISHA KUMALIZIA TARATIBU ZA MWISHO KUINASA SAINI...

0
DEAN Smith, Kocha Mkuu wa Aston Villa amesema kuwa timu yake ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha dili la kuipata saini ya mshambuliaji Mtanzania,...

SIMBA KUTUA BONGO LEO NA POINTI ZAKE SITA ZA KANDA YA...

0
KIKOSI cha Simba kilicho chini ya Kocha Mkuu, Sven Vanderbroeck leo kinatarajia kurudi Bongo kikitoe Mwanza baada ya kucheza mechi mbili za Ligi Kuu.Mechi...

WAWILI WATWAA TUZO NDANI YA ALLIANCE

0
UONGOZI wa Alliance umendelea kutoa tuzo kwa wachezaji wao ambapo jana ilitoa tuzo kwa wachezaji wawili waliofanya vizuri mwezi Novemba na Desemba.Wachezaji hao wawili...

AKILI ZA AZAM FC SASA ZIMEHAMIA HUKU, YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU...

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kwa sasa unazipigia hesabu pointi tatu za Mwadui FC ya Shinyanga.Azam FC iliyo chini ya Arstica Cioaba iliifunga Yanga...

YANGA YAWASHUKURU MASHABIKI YAWAITA NAMFUA JUMATANO

0
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga kuwa watapambana kwenye mechi zao zilizobaki kutokana na kutokuwa na matokeo mazuri kwenye mechi zao mbili za hivi...

MZIMU WA MAJERUHI WAITESA UNITED, SASA YAHAHA KUMTAFUTA MBADALA WA RASHFORD

0
OLE Gunnar Solskajer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa anafanya mpango wa kumtafuta mbadala wa Marcus Rashford kwa mkopo baada ya kuthibisha kwamba...

KIPIGO CHA AZAM CHAMFANYA KOCHA YANGA AZUNGUMZE AMBAYO HAYAKUTARAJIWA

0
Kocha wa klabu ya Yanga, Luc Eymael ameonesha kutofurahishwa na waamuzi wa mchezo wa ligi dhidi ya Azam FC uliopelekea kufungwa bao 1-0 juzi...

BAADA YA KUMFANYIA UMAFIA MCHEZAJI AZAM, SONSO AIBUKA NA TAMKO

0
Mlinzi wa klabu ya Yanga, Ally Mtoni ameomba msamaha kufuatia kitendo cha kumkanyaga kwa makusudi mchezaji wa Azam FC katika mchezo wa ligi.Mchezo huo...

KIMEWAKA JANGWANI, YANGA WATAKA KOCHA AONDOLEWE

0
Baada ya kupokea kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara juzi, mashabiki wengi wa Yanga wamefunguka wakiutaka...

YANGA CHINI YA LUC YAWEKA REKODI YA AJABU

0
YANGA imekubali kipigo cha pili mfufulizo baada ya kufungwa na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS