Home Uncategorized AKILI ZA AZAM FC SASA ZIMEHAMIA HUKU, YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA...

AKILI ZA AZAM FC SASA ZIMEHAMIA HUKU, YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA MWADUI


UONGOZI wa Azam FC umesema kwa sasa unazipigia hesabu pointi tatu za Mwadui FC ya Shinyanga.

Azam FC iliyo chini ya Arstica Cioaba iliifunga Yanga bao 1-0 Uwanja wa Taifa juzi, ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi zake 32 baada ya kucheza mechi 15.

Jana Azam FC ilianza mazoezi rasmi kwa ajili ya mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Januari, 22 Uwanja wa Kambarage, Shinyanga.

 Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga amesema kuwa wachezaji wapo vizuri wana imani watapata pointi tatu kwenye mchezo huo.

SOMA NA HII  KAULI YA MZAHA YA MANARA INAYOFANANA NA ILE YA KIUFUNDI YA KOCHA YANGA