Home Authors Posts by admin

admin

24376 POSTS 9 COMMENTS

UONGOZI SIMBA WAWEKA SAWA SUALA LA MGAO WA MAMILIONI YA SAMATA...

0
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, amesema sio kweli Simba itapata mgao wa asilimia 20 ikiwa Klabu ya KRC Genk itamuuza mshambuliaji Mbwana...

DUA MAALUM AFANYIWA MBWANA SAMATTA

0
FAMILIA ya nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, juzi usiku ilikutana na kusoma dua ya kumtakia kheri kijana wao katika harakati za kuanza kucheza...

SIMBA YACHOTA ZAIDI YA MILIONI 600 KWA SAMATTA

0
Mbwana Ally Samatta kila anakokwenda kucheza basi ujue Klabu ya Simba inaingiza mkwanja na hii ni kutokana na kuhusika kwenye malezi ya mshambuliaji huyo...

LIVERPOOL HAIZUILIKI KASI YAKE YAIBAMIZA MANCHESTER UNITED

0
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amemzidi mbinu mpinzani wake Ole Gunnar Solksjaer wa Manchester United kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 kwenye...

SIMBA BANA, YATIMIZA 4G MBELE YA ALLIANCE YA MINZIRO

0
SVEN Vandenbroeck leo ameongoza kikosi chake cha Simba kupata ushindi wa mabao 4-1 mbele ya Alliance FC, iliyo chini ya Felix Minziro.Alliance leo ilianza...

MAMBO 7 YANAYOILAZIMISHA ASTON VILLA KUHAKIKISHA INAMPATA NA KUMTUMIA SAMATTA

0
Na Saleh AllyKOCHA Dean Smith wa Aston Villa ndiye aliyemchagua mshambuliaji Mbwana Samatta kutoka KRC Genk kujiunga na kikosi chake kwa ajili ya ukombozi...

LIGI KUU BARA: ALLIANCE 1-0 SIMBA

0
Alliance 1-0 SimbaUwanja wa CCM KirumbaGoool: Israel Mwenda dk ya 27Dakika ya 30 Chinedu anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 27 Patrick Mwenda anafunga Goooal...

SIMBA YATAJA SABABU YA KUIFUNGA ALLIANCE LEO KIRUMBA

0
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa sababu itakayowafanya Simba waifunge Alliance leo ni kupata pointi tatu muhimu kwenye mechi yao itakayochezwa Uwanja wa...

SIRI YA AZAM FC KUSHINDA MBELE YA YANGA HII HAPA

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kilichowabeba mbele ya Yanga kwenye mchezo wao wa jana Uwanja wa Taifa ni morali ya wachezaji kucheza bila...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS