Home Authors Posts by admin

admin

25025 POSTS 9 COMMENTS

UNITED WAONGEZEWA MZIGO KUINASA SAINI YA NAHODHA WA MBWANA SAMATTA

0
MANCHESTER United imeonyesha nia ya dhati ya kuipata saini ya nyota wa Aston Villa, Jack Grealish ili kuongeza nguvu dani ya kikosi hicho kwenye...

KUTANA NA BILIONEA WA MISRI BOSI WA SAMATTA, ANAYEIMILIKI ASTON VILLA

0
Na Saleh AllyMTANZANIA Mbwana Samatta amefanikiwa kucheza mechi mbili tu katika kikosi cha Aston Villa ya England lakini tayari ni maarufu sana.Samatta amecheza mechi...

POCHETTINO KUIBUKIA MANCHESTER UNITED IWAPO SOLSKJAER ATASHINDWA KUIFIKISHA HAPA

0
MAURICIO Pochettino, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Spurs anahusishwa kujiunga na Manchester United.United iliyo chini ya Ole Gunnar Solskjaer imekuwa na mwendo wa kusuasua ndani...

SAMATTA ATAKA MABAO 14 VILLA

0
MSHAMBULIAJI mpya wa aston Villa, Mtanzania, Mbwana Samatta amepanga kufunga katika kila mchezo wa Ligi Kuu England ‘Premier League’ kwa lengo la kuisaidia timu...

YANGA: MBINU ZA EYMAEL ZIMEJIBU, MASHABIKI WANASTAHILI PONGEZI

0
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga amesema kuwa kazi ndo inaanza kwa Yanga baada ya mbinu za Kocha Mkuu, Luc Eymael kujibu kwa sasa...

AZAM FC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA POLISI TANZANIA

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa wanahitaji pointi tatu za Polisi Tanzania kwenye mchezo utakaochezwa Jumanne, Februari 11,2020, Uwanja wa Uhuru.Azam FC jana imeshinda...

BECKER WA LIVERPOOL AGOMEA KULA BATA, KAZI KAMA KAWA

0
ALISSON Becker raia wa Brazil mlinda nyavu za Liverpool amegomea kula bata wakati wa mapumziko na badala yake anaendelea kufanya mazoezi kujiweka fiti.Mlinda mlango...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS