Home Authors Posts by admin

admin

24371 POSTS 9 COMMENTS

KISA MATUSI NA KEJELI SABABU YA SIMBA KUTUPWA NJE CAF, MANA...

0
Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kuhusiana na kejeli pamoja na matusi anayoyapata mitandaoni kisa kutupwa nje CAF.

UONGOZI YANGA WAFUNGUKA KUVAA JEZI YENYE NEMBO NYEKUNDU VODACOM

0
Baada ya misimu kadhaa nyuma kugomea nembo ya mdhamini mkuu wa Ligi Kuu Bara ambaye ni Vodacom, uongozi wa Yanga umesema hauwezi kusema lolote...

BAADA YA UD SONGO, BASI VIZURI MUONYESHE HESHIMA KWA JOHN BOCCO….

0
Na Saleh AllyMATATIZO ukiyachukulia chanya, yanafundisha. Lakini kila tatizo ukiamini lipo kukuangamiza, basi utaangamia kweli.Simba waliingia uwanjani kuwavaa UD Songo katika mechi ya pili...

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA RUVU SHOOTING HIKI HAPA, FALCAO AANZA

0
Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Ruvu Shooting1. Farouk Shikalo2. Mustafa Sulemani3. Ally Sonso4. Kelvin Yondan5. Lamine Moro6. Pappy Tshishimbi7. Juma Balinya8. Feisal Salum9....

BORA OKWI NA SHETANI WAKE KULIKO WABRAZIL NA MALAIKA WAO

0
Na Saleh AllyKABLA ya kuanza kwa msimu mpya wa mwaka 2019/20, Simba ilifanya usajili wa gharama kubwa unaokadiliwa kuzidi kitita cha Sh milioni 500...

ILE ISHU YA NIYONZIMA KUSHINDWA KUSAINI SIMBA IKO NAMNA HII

0
Baada ya kurejea kwao Rwanda na kujiunga na AS Kigali inayoshiriki Kombe la Shirikisho Afrika, imebainika kuwa kiungo fundi, Haruna Niyonzima, aligomea kusaini mkataba...

MWILI JUMBA, SHIKALO SASA KUWAVAA RUVU SHOOTING, YANGA YAKAMIA KINOMA LEO

0
LIGI kuu Tanzania bara inaendelea leo  kwa mchezo mmoja  kati ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa uwanja wa Uhuru majira ya saa 10:00...

KICHUYA AWAACHA MDOMO WAZI SIMBA

0
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Shiza Ramadhan Kichuya ameibua maswali mengi kwa mashabiki wa soka nchini juu ya video aliyoweka katika mtandao wake wa...

REAL MADRID KUKUTANA NA WABAYA WAKE SEPTEMBA 28

0
MCHEZO wa watani wa jadi wa Madrid, Atletico Madrid na Real Madrid unatazamiwa kuchezwa Septemba 28 Uwanja wa Wanda Metropolitan.Atletico Madrid watakuwa wenyeji wa...

NDEMLA AIGOMEA SIMBA

0
Baada ya Simba kutolewa katika michuano ya kimataifa, kiungo wa timu hiyo, Said Ndemla amesema kuwa inahitajika juhudi kubwa kwa sasa kupata nafasi ya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS