Home Authors Posts by admin

admin

24376 POSTS 9 COMMENTS

YANGA YAPOKEA VIFAA VYA SOKA VYENYE THAMANI YA MILIONI TATU

0
Aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Yanga, Ahmed Amasha, leo ametembelea makao makuu ya klabu hiyo na kutoa zawadi ya vifaa mbalimbali vya soka.Amasha ametoa...

GUNDOGAN ACHEKELEA KUBAKI NDANI YA MANCHESTER CITY

0
IIKAY Gundogan, kiungo mshambuliaji wa Manchester City bado yupo sana ndani ya kikosi hicho.Gundogan ameongeza kandarasi ya kuitumikia klabu hiyo ambapo atadumu mpaka mwaka...

MASTAA 6 WAPYA KUPINDUA MEZA YANGA

0
UKOSEFU wa mechi ngumu na za maana za kimataifa jana kuliiponza Yanga na kujikuta wakilazimisha sare ya usiku ya bao 1-1 mbele ya mashabiki...

KIMENUKA MADRID, ZIDANE NA RAIS WAKE HAKUNA MAELEWANO, NYOTA EPL ATAJWA

0
Kitendo cha Rais wa klabu ya Real Madrid, Florentino Perez kushindwa kukamilisha harakati za kumsajili kiungo Mfaransa anayekipiga kunako Manchester United, Paul Pogba kimeanza...

KOCHA MANCHESTER UNITED YADAIWA CHANZO LUKAKU KUSEPA

0
IMEELEZWA kuwa Romelu Lukaku hakuwa na amani ndani ya kikosi cha Manchester United kutokana na kutibuana na Kocha Msaidizi wa timu hiyo kabla ya...

ISHARA 5 HARMONIZE KUJITOA WCB

0
Kama inavyokuwa kwa mzazi na mtoto anapofikisha umri wa kujitegemea, ndivyo inavyotokea kwa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ baada ya ishara...

ZAHERA AJA NA TAMKO ZITO KWA MASHABIKI YANGA JUU YA FALCAO

0
Mwinyi Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wale ambao wanabeza uwezo wa mshambuliaji wake mpya, David Molinga 'Falcao' watamuelewa tu ligi ikianza.Molinga ni...

YANGA KUCHUKUA MAKOMBE YOTE MSIMU HUU, KIUNGO AFUNGUKA

0
Kiungo mkabaji wa Yanga Mkongomani, Papy Tshishimbi amekiangalia kikosi kipya cha timu hiyo na kutamka kuwa msimu huu utakuwa mzuri kwao wa kuchukua makombe...

YONDANI ALIPWA NUSU YA FEDHA ZAKE LAKINI ……

0
Wakati Andrew Vincent na Juma Abdul wakiwa wanadai jumla ya milioni 58, beki Kelvin Yondani amelipwa nusu ya fedha zake.Yondani amelipwa milioni 15 kati...

BEKI MPYA SIMBA AJA NA KITISHO YANGA

0
Haruna Shamte, beki mpya ndani ya Simba ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili amesema kuwa moto wake haupoi msimu ujao ataendelea kuwaliza wapinzani wa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS