admin
ZAHERA ATUMIA DAKIKA 90 KUTENGENEZA MABAO YA BALINYA
Katika kuelekea mchezo wao wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera, juzi Jumamosi alitumia dakika...
MBELGIJI SIMBA AIBUKA NA KALI YA SIKU, HATAKI MPIRA WA SHOO
Patrick Aussems amewapiga biti wachezaji wa kikosi hicho kwa kuwaambia hataki kuona wakicheza mpira wa shoo badala yake anataka kuwaona wanafunga mabao ya kumwaga....
LIGI KUU BARA YAANZA NA REKODI BAB KUBWA
Safari ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20 ilianza rasmi Agosti 24,mwaka huu katika viwanja tofauti. Na utamu zaidi katika safari...
SIMBA YASHUSHA ‘BREKI’ SASA KAZI KUANZA ALHAMISI KUIWINDA MTIBWA SUGAR
PATRICK Aussems, ameshusha breki leo na kuwaacha wachezaji wake wapumzike kwa muda kabla ya kurejea kazini.Simba leo wameanza mapumziko yao ambayo yatadumu mpaka Alhamisi...
YANGA YASHUSHA PRESHA KWA MASHABIKI, MAISHA LAZIMA YAENDELEE
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kupoteza kwake mchezo mbele ya Ruvu Shooting ni sehemu ya maisha ya soka hivyo mashabiki wasiwe...
DULLA MBABE AREJEA BONGO APOKELEWA KIFALME NA UBINGWA WAKE LEO
ABDALAH Panzi, maarufu kama 'Dulla Mbabe' leo amerejea ardhi ya Bongo na kupokelewa na umati wa mashabiki ambao walijitokeza uwanja wa ndege wa Kimataifa...
BILIONI NA MAMILIONI KUMWAGWA NA GSM YANGA, ISHU YA ZAHERA KUPEWA...
Dondoo za mkutano wa jana Baina ya Matawi na Mwenyekiti wa klabu Mshindo MsollaMkutano ulikua na lengo moja kuhamasisha amani na umoja ndani ya...
MBASHA AANIKA HISIA ZAKE LIVE KWA FAIZA ALLY BAADA YA KULIA...
"Mwanamke mrembo sana huyu lakini kavimba macho kwa ajili ya kumlilia mwanaume asiyemtaka. "Dah! Faiza kwanini ung'ang'anie mtu asiyekutaka wakati sisi tunaokupenda tupo hapa? Yaani...
TSHISHIMBI KUFIKISHA YANGA HATUA WALIYOFIKA SIMBA CAF
Papy Tshishimbi ambaye ni nahodha wa timu ya Yanga kwa sasa ameweka msisitizo wa timu yake kufika katika rekodi ambayo iliwekwa na wapinzani wao...
KIUNGO YANGA AWAHAKIKISHIA WANACHAMA KUICHAKAZA ZESCO
Nahodha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Papy Tshishimbi amesema wanajiandaa vema kuhakikisha wanashinda mchezo wa nyumbani kabla ya kurudiana nchini Zambia kwa wapinzani wao, Zesco...