admin
AMRI KIEMBA AWACHAMBUA WATANI WA JADI ‘UKICHEZA SIMBA LAZIMA UWE NA...
Alichokizungumza mchezaji Amri Kiemba kuhusiana na utofauti baina ya Simba na Yanga hiki hapa."Kuna mchezaji anastahili kucheza Yanga na kuna mchezaji anayestahili kucheza Simba...
SIMBA KUSHUSHA STRAIKA MKALI ZAIDI YA OKWI, NI HUYU HAPA
Inaelezwa kuwa uongozi wa klabu ya Simba upo kwenye mipango ya kushusha straika wa maana katika dirisha dogo la usajili.Maamuzi hayo yanakuja kutokana na...
MFAHAMU VIZURI SHIBOUB ALIPOZALIWA MPAKA ANATUA SIMBA – VIDEO
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wamedhihirisha hawataki kufanya makosa msimu ujao kwenye ligi hiyo kufuatia kuendelea kujiimarisha walivyoinasa saini ya kiungo wa...
VIDEO: TUKIO LA NDOA YA SUGU JIJINI MBEYA
MBUNGE wa Mbeya mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Mbilinyi, maarufu kama ‘Sugu’ leo tarehe 31, Agosti, 2019, amefunga pingu za...
AZAM FC YAINYOOSHA TRANSIT CAMP LEO UHURU MABAO 3-1, NGOMA ALIAMSHA
KIKOSI cha Azam FC, leo kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Transit Camp kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Uhuru.Azam FC...
MBUNGE SINGIDA APOKEA WAANDISHI WANAOKWENDA BURUNDI KUIPA MORALI STARS
MBUNGE wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu, ameupokea msafara wa Waandishi wa habari za michezo wanaokwenda nchini Burundi kuisapoti timu ya taifa Tanzania ‘Taifa Stars’...
DANTE HAJALIPWA MILIONI ZAKE 45 YANGA
Beki wa Yanga, Andrew Vincent 'Dante' ameibuka na kusema anaidai klabu yake kiasi cha shilingi milioni 45 za kitanzania, imeelezwa.Dante ambaye hayuko na kikosi...