admin
LUKAKU WA MANCHESTER UNITED KUIBUKIA MILAN
ROMELU Lukaku amekamilisha uhamisho wake kutoka Manchester United mpaka Iter Milan.Milan inayoshiriki Serie A imeweka mezani mkwanja wa pauni Milioni 72 ili kukamilisha dili...
CHELSEA YAKUBALI KUMUACHIA NYOTA WAO LUZ KWA HASARA KUTUA ARSENAL
ARSENAL inatakiwa ivunje kibubu na kuweka mezani dau la pauni milioni 12 Kwa Chelsea ili kumpata nyota David Luiz.Beki huyo raia wa Brazil amewaambia...
AZAM FC YAPANIA KUFANYA MAAJABU KWA WAETHIOPIA JUMAPILI
KIKOSI cha mabingwa wa kombe la Shirikisho Azam FC kimepania kufanya maajabu kwenye mchezo wao utakaochezwa Jumapili nchini Ethiopia dhidi ya Fasil Kenema.SAzam FC...
MABOSI MANCHESTER CITY WAKUBALIANA KUMPA NAMBA MPYA NYOTA WAO MPYA
MABOSI wa Manchester City wamethibitisha kwamba nyota mpya aliyejiunga nao kwa ajili ya msimu ujao atatumia jezi namba 27.Joao Cancelo amekamilisha usajili wake ndani...
WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA KUTUA BONGO LEO
WAPINZANI wa Yanga kimataifa kwenye mchezo wa awali unaotarajiwa kuchezwa Agosti 10 uwanja wa Taifa Township Rollers wanatarajia kutua Bongo leo.Yanga itakuwa mwenyeji kwenye...
TANZANITE: TUNAWANYOOSHA AFRIKA KUSINI LEO
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' amesema kuwa kikosi kipo sawa kwa ajili ya mchezo...
KAPOMBE: NIMERUDI SASA NI KAZI JUU YA KAZI KITAIFA NA KIMATAIFA
SHOMARI Kapombe, beki wa Simba amesema kuwa kwa sasa yupo fiti na anaimani ya kufanya vizuri ndani ya Simba kwenye michuano ya kitaifa na...
YANGA: TOWSHIP ROLLERS WETU KABISA, MASHABIKI WATUPE SAPOTI
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hana mashaka na kikosi alichonacho kwa sasa kwani kitampa matokeo chanya kimataifa.Yanga Jumamosi itakuwa uwanja wa...
NYOTA HUYU AANDALIWA KUWA MRITHI WA DAVID SILVA NDANI YA MANCHESTER...
PHIL Foden, kiungo mshambulijaji ni miongoni mwa nyota wenye kipaji cha hali ya juu ambacho wapo nacho kati ya wachezaji vijana ambao wanakipiga Ligi...
SIMBA IPO BIZE NA MCHAKATO WA KUIREJESHA MIKONONI MWA WATU, KILA...
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba, Mohammed Dewj 'Mo' amesema kuwa anapenda kuona timu ya Simba inafikia hatua kubwa ya mafanikio kitaifa...