admin
GARETH BALE MBISHI KINOMA AIKOMALIA MADRID
GARETH Bale amemwambia Meneja wa Real Madrid, Zinedine Zidane kuwa hana mpango wa kusepa ndani ya kikoisi hicho msimu ujao kuelekea China.Zidane amemwambia Bale...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu
CAF WASITISHA ISHU YA AS VITA KUTIA TIMU BONGO
IMEELEZWA kuwa Uongozi wa As Vita umesitisha mpango wa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Yanga.Yanga ilipanga kucheza mchezo wa kirafiki siku ya...
NYOTA SABA MATATA WAMPASUA KICHWA MBELGIJI WA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa mchezaji atakayeonyesha juhudi mazoezini ndiye atakayepewa kipaumbee kwenye kikosi cha kwanza.Simba imeweka kambi nchini Afrika Kusini...
MLINDA MLANGO MPYA WA YANGA KUTOKA KENYA ATIA TIMU BONGO
HATIMAYE, Farouk Shikalo mlinda mlango mpya wa kikosi cha mabingwa wa kihstoria, Yanga amewasili nchini Tanzania.Shikalo amewasili Dar akitokea nchini Kenya ambapo alikuwa kwa...
SIMBA: LAZIMA TUTUSUE KIMATAIFA
GADIEL Michael, beki wa kushoto wa Simba amesema hesabu zake ni kutamba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na kufika mbali zaidi ya robo fainali...
MASHABIKI YANGA WAPEWA SOMO KUELEKEA WIKI YA WANANCHI
TAYARI mambo yameanza ndani ya Yanga ambapo mashabiki wa sehemu mbalimbali wameanza kujipanga kuelekea kwenye wiki ya Wanachi.Uongozi wa Yanga umesema kuwa Julai 28...
TFF YATIA TIMU KIGALI KUIPA SAPOTI AZAM FC
WALLACE Karia, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ameitaka Ttmu ya Azam FC kufanya vema kwenye mchezo wa fainali ya michuano ya Kagame...
TULIINGIA DARASANI KWA TAMBWE, SASA NI ZAMU YA BALINYA, URIKHOB KUTUPA...
Na Saleh AllyYANGA imesajili washambulizi wawili wapya, mmoja kutoka Uganda na mwingine nchini Namibia na wote, waliwahi kukataliwa na Simba.Sadney Urikhob ni raia wa...
AZAM FC: TUNALIPA KISASI KWA KCCA LEO, TUNABEBA KOMBE
ETTIENE Ndayiragije Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa leo watapambana kulipa kisasi mbele ya KCCA katika mchezo wa fainali ya kombe la Kagame...