Home Authors Posts by admin

admin

24903 POSTS 9 COMMENTS

DIDA; NINA OFA TANO MKONONI KWA SASA

0
 Deogratius Munish, mlinda mlango huru baada ya kuachana na Simba amesema kuwa ana ofa tano mkononi mwake kwa sasa.Dida hana timu na anatumia muda...

MWADUI FC WASHINDA VITA YA KUIPATA SAINI YA NYOTA WA MTIBWA...

0
Mwadui FC imeshinda vita ya kuipata saini ya beki wa Mtibwa Sugar, Rojas Gabriel ambaye amesaini kandarasi ya mwaka mmoja.Gabriel alikuwa anawindwa na timu...

HUYU NDIYE PILATO WA FAINALI YA AFCON KATI YA SENEGAL NA...

0
BAMLAK Tessema mwenye umri wa miaka 39 raia wa Ethiopia ameteuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kuchezesha mchezo wa fainali ya michuano ya...

SIMBA YAKIRI KUTOMLIPA MCHEZAJI MURSHID MSHAHARA WA MIEZI MIWILI, YATAJA SABABU

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa ni kweli unadaiwa na mchezaji wao Juuko Murshid anayecheza timu ya Taifa ya Uganda ila haina mpango wa kuachana...

NGASSA: TUTAPAMBANA KIUKWELI MSIMU UJAO

0
KIUNGO mshambuliaji  wa Yanga, Mrisho Ngassa amesema kuwa anafuraha kuona anaendeleza makali yake ndani ya kikosi hicho na anaamini watapambana kiukweli msimu ujao.Ngassa jana...

UNITED YAMKOMALIA POGBA

0
OLE Gunnar Solskjaer, Meneja wa Manchester United amesema kuwa klabu hiyo haina mpango wa kumuuza staa wa timu hiyo Paul Pogba.Pogba hivi karibuni alifunguka...

ISHU YA VITA YA NAMBA NDANI YA SIMBA, GADIEL MICHAEL AMUACHIA...

0
 GADIEL Michael beki wa Simba na timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' amesema kuwa ishu ya namba ndani ya timu yake mpya anamuachia...

JULIO ASHANGAA KOCHA SIMBA KUTOPEWA STARS, ATAJA SABABU

0
Kocha wa zamani wa klabu ya Simba, Jamhuri Kihwelo 'Julio' ameshangaa kutokuona watanzania wakipewa nafasi ya kuifundisha Taifa Stars.Kauli ya Julio imekuja siku chache...

KABLA HATA YA LIGI KUANZA, MBRAZIL SIMBA AANZA NA YANGA

0
Beki mpya wa Simba kutoka Brazil, Gerson Fraga amesema kuwa anatamani msimu mpya uanze haraka ili aoneshe kile alichonacho.Akizungumza mara baada ya kutua nchini Afrika...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS