admin
MANCHESTER UNITED WAIWEKEA NGUMU INTER MILAN KWA LUKAKU
ROMELU Lukaku, staa wa Manchester United anawaniwa na klabu mbili kubwa ambazo zinahitaji kuipata saini yake kwa ajili ya msimu ujao.Juventus na Inter Milan...
RATIBA YA KAGAME LEO, MAKOCHA WOTE KUTUPA KETE YAO YA KWANZA...
LEO wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Kagame inayofanyika nchini Rwanda watakuwa kazini kupeperusha Bendera.KMC watakuwa wa kwanza kurusha kete yao leo majira ya...
BIASHARA UNITED KUANZA NA UONGOZI
UONGOZI wa Biashara United umesema kuwa kwa sasa unajipanga kufanya uchaguzi ili kupata viongzoi wapya ndani ya timu hiyo.Katibu wa Biashara United, Haji Mtete...
USAJILI: MRITHI WA GADIEL MICHAEL YANGA MARCELO ASAINI MIAKA MITATU
Mlinzi wa kushoto, Muharami Issa Said amejiunga na kikosi cha Yanga kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Malindi fc ya Zanzibar.
NYOTA MWINGINE YANGA ACHOMOLEWA MAZIMA
PIUS Buswita mshambuliaji wa zamani wa kikosi cha Yanga ambaye amepigwa chini kwa sasa amewekwa kwenye rada za timu ya Kagera Sugar na Polisi...
GADIEL MICHAEL: NASAINI SIMBA JUMLA
IMEELEZWA kuwa beki wa Yanga, Gadiel Michael amemalizana na Simba kwa kandarasi ya miaka miwili kwa ajili ya kukitumikia kikosi hicho msimu ujao.Michael alipishana...
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO...
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
BALINYA APEWA DAWA YA KUIMALIZA SIMBA HARAKA
Wakati uongozi wa Yanga ukiwa katika harakati zake za kukisuka upya kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao, mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Juma...
MISRI YATUPWA NJE AFCON KWA KUCHAPWA BAO 1-0 NA AFRIKA KUSINI,...
Game ya AFCON hatua ya 16 bora imekwisha na wenyeji Misri wanatupwa nje ya mashindano kwa bao 1-0 huku Afrika Kusini wakisonga mbele kwenye...