admin
KOCHA JULIO: YANGA NI TISHIO
MAKOCHA wawili maarufu na wenye heshima kwenye soka la Tanzania, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ na Juma Pondamali wamekiri kwamba Yanga mpya itakuwa tishio. Julio na...
MSAFARA WA NANDY FESTIVAL WAPATA AJALI, MENEJA WAKE AFUNGUKA
Basi aina ya Coaster lililokua kwenye msafara wa kuelekea Nandy Festival Sumbawanga limepinduka Mikumi usiku wa kuamkia leo.Msafara huo ulikuwa na Wasanii Juma Nature,...
WAWA: NINAONDOKA BONGO
BEKI kisiki wa Simba mwenye mwili uliojengeka kimazoezi Pascal Wawa amesema kuwa kwa sasa anatarajia kuondoka bongo muda wowote kuelekea nchini Ivory Coast kwa...
TFF, SIMBA WAJICHANGANYA KUHUSU SHOMARI KAPOMBE
KUFUATIA taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa Shrikisho la Soka Tanzania (TFF), Cliford Ndimbo kueleza kuhusu hali ya beki wa timu ya Simba na...
MLINZI WA SHULE ALIYEMUUA MWANAFUNZI AHUKUMIWA KIFO
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Moshi imemhukumu kunyongwa hadi kufa mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Scolastica, Hamis Chacha (30), baada ya kupatikana na kosa...
STARS KUMENOGA, DOZI MARA MBILI KWA SIKU
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimeanza mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Afcon itakayofanyika nchini Misri mwezi Juni.Stars...
PLAYOFF NGOMA NI NZITO, SASA MECHI ZA MWISHO KUAMUA
Mechi zote za leo za Playoff zimekamilika kwa timu zoe kutoshana nguvu huku wote wakitamba kupata matokeo mchezo wa mwisho utakaochezwa Juni 8 mwaka...
KWA USHINDANI ULIOPO KWA SASA KILA TIMU ISAJILI KIUFUNDI NA SIO...
KATIKA vitu ambavyo viliziangusha timu nyingi zilizoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2018/19 ambao ulimalizika hivi karibuni, ni suala zima la usajili.Usajili huo...
KESI YA AVEVA, KABURU, HANSPOPE YAKWAMA LEO
Kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa Simba imeshindwa kuendelea kusikilizwa baada ya shahidi aliyeandaliwa kufiwa na kushindwa kufika mahakamani.Kesi hiyo inawakabili hao waliokuwa viongozi wa...
KESI YA JAMALI MALINZI YAPIGWA KALENDA
MAHAKAMA imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya Serikali kushindwa kuleta shahidi.Kesi hiyo ilitarajiwa kuendelea leo...