admin
KOCHA YANGA AMLILIA HERITIER MAKAMBO
KOCHA wa zamani wa timu ya Yanga, Azam FC na Singida United Hans Pluijm amesema kuwa itachukua muda mrefu kwa mbadala wa mshambuliaji wa Heritier...
NYOTA HUYU SIMBA ATAJWA KUBEBA MIKOBA YA BOCCO KWENDA POLOKWANE
IMEELEZWA kuwa baada ya uongozi wa timu ya Polokwane FC inayoshiriki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini kufeli kuipata saini ya nahodha wa Simba, John...
EXCLUSIVE: SIMBA YAMTANGAZA BENO KAKOLANYA
UONGOZI wa Simba leo umemtangaza aliyekuwa mlinda mlango wa Yanga Beno Kakolanya kujiunga na kikosi hicho msimu ujao kwa kumpa kandarasi ya miaka miwili....
MATOLA WA LIPULI AIBUKIA POLISI TANZANIA, ASAINI MWAKA MMOJA
SELEMAN Matola amepewa kandarasi ya kuinoa timu ya Polisi Tanzania iliyopanda Daraja msimu huu kushiriki Ligi Kuu Bara.Matola ambaye alikuwa kocha wa Lipuli ametambulishwa...
SINGIDA UNITED YA MINZIRO YASAKA WACHEZAJI 10 KATI YA 500
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa wamejitokeza wachezaji zaidi ya 500 kwa ajili ya kufanya majaribio kwenye kikosi hicho ambalo lilianza Juni 12 litakamilika...
KUMEKUCHA NAMUNGO, WAGOMEA WACHEZAJI WA MAJARIBIO
UONGOZI wa Namungo FC umesema kuwa kwa sasa haufikirii kusajili wachezaji wa majaribio na badala yake wanafanya kazi kubwa kusajili wachezaji wenye uwezo wa...
NYOTA WA BARCELONA AISHANGAA STARS, AIPA NAFASI YA KUFANYA MAAJABU AFCON
NYOTA wa zamani wa timu ya Barcelona, Chelsea, Inter Milan na timu ya Taifa ya Senegal, Samuel Etoo ameishangaa kuskia Tanzania inashiriki michuano ya...
KUMBE KILICHOMPONZA AIYEE ASIWIKE NI JERSON TEGETE NA KELVIN SABATO
MSHAMBULIAJI wa Mwadui FC, Salum Aiyee ambaye ni namba moja kwa wazawa msimu wa 2018/19 kwa kucheka na nyavu akiwa na mabao 18 amesema...
SIMBA MPYA UTAIPENDA, MKENYA AFUNGUKA
SIMBA imemalizana na mastaa wawili matata wa kigeni ambao mmoja ni straika na mwingine ni beki wa kushoto atakaemrithi Asante Kwasi.Majina hao pamoja na...
KAMATI MPYA YA USAJILI YANGA NOMA
KAMATI ya usajili wa Yanga bado ni siri kubwa na huenda ikatangazwa wikiendi hii lakini Spoti Xtra limenasa majina ya vigogo waliopo.Kwa mujibu wa...