admin
MTIBWA SUGAR WAPANIA KUSUKA KIKOSI CHA USHINDANI
UONGOZI wa Mtibwa Suar unesema kuwa msimu ujao wataboresha kikosi na kukifanya kiwe cha ushindani zaidi ya msimu uliomalizaka.Akizungumza na Salehe Jembe, Ofisa Habari...
ISHU YA JOHN BOCCO KUSAINI POLOKWANE YAIBUA MENGINE MSIMBAZI – VIDEO
Kufuatia ile ishu ya mchezaji wa Simba, John Bocco kuonekana akisaini mkataba mwingine na Polokwane ya Afrika Kusini, uongozi wa klabu hiyo chini ya...
BILIONI MOJA NA MILIONI TANO KUKABIDHIWA YANGA – VIDEO
Klabu ya Yanga inatarajia kufanya jambo kubwa ambalo litakalo wasogeza mbele kisoka na kuleta mapinduzi nchini, huku wakisema wao wamefanikiwa kwa asilimia kidogo katika...
MZEE KILOMONI ATAKUFA YEYE, SIMBA ITABAKI – VIDEO
Simba wametoa ufafanuzi kuhusu suala la udhamini wa Mzee Kilomoni ndani ya klabu ya Simba huku wakisema kuwa Mzee Kilomoni siyo mdhamini hivyo atambuliki...
WACHEZAJI SABA SIMBA KUACHWA – VIDEO
Kwa tetesi zilizopo hawa hapa ndiyo wachezaji wa timu ya Simba ambao hawapewi nafasi ya kuongezewa mikataba mipya.
SIMBA WAAMUA KUIIGA YANGA KWA JAMBO HILI
Klabu ya Simba imetangaza rasmi kuandaa mchakato wa kupata wimbo wake maalum kwaajili ya mashabiki kama sehemu ya kuongeza hamasa.Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo...
EDEN HAZARD APATA KIGUGUMIZI KUTOFAUTISHA PREMIER LEAGUE NA LA LIGA
EDEN Hazard mchezaji wa Real Madrid ambaye leo ametambulishwa rasmi baada ya kukamilisha utaratibu wa uhamisho kutoka kikosi cha Chelsea amesema kuwa kuna utofauti...
NYOTA WA AFRIKA WANAOKIPIGA PREMIER KATIKA NAMBA NA MABAO WALIYOPACHIKA KWENYE...
MOHAMED Salah kwenye michuano ya Afcon ambayo inatarajiwa kuanza Juni 21 anashika namba moja kwa mastaa wanaokipiga Premier League.Anapeperusha Bendera ya Misri ameanza kuitumikia...