Home Authors Posts by admin

admin

24610 POSTS 9 COMMENTS

TETESI ZA WACHEZAJI KUHAMA KLABU MOJA KWENDA NYINGINE LIGI KUU TANZANIA...

0
Hizi hapa ni tetesi za wachezaji kuhama kutoka timu moja kwenda nyingine kwa hapa Tanzania na nje ya Tanzania pia.

ALIYETAJWA KUTUA YANGA MAMBO YAGEUKA, WASHINDWANA ‘ PESA NDOGO’

0
Imeelezwa kuwa beki aliyemaliza mkataba na klabu ya KMC, Ally Ally amesema kuwa maslahi ndiyo kikwazo kilichomfanya asisaini mkataba na klabu ya Yanga.Taarifa imeeleza...

KUMBE HATA HUYU HAJASAINI BHANA…

0
Taarifa za uhakika zinasema kuwa kwamba mchezaji Ibrahim Ajibu hajasaini YANGA, na kwa siku tatu sasa hapokei simu za viongozi wa timu hiyo. Kwa mujibu...

SIMBA WALIVYOWAKA KAGERA KUBAKI LIGI KUU BARA – VIDEO

0
Kufuatia Kagera Sugar kusalia kunako Ligi kuu Bara baada ya kuifunga Pamba SC mabao 2-0 kwenye mchezo wa Play Off, mashabiki wa Simba hawajasita...

BAADA YA BOCCO HAWA HAPA WENGINE NANE WALIOWEKWA KWENYE TAGETI NA...

0
BAADA ya Simba kuanza kazi na nahodha John Bocco kwa kumpa kandarasi ya miaka miwili sasa imeelezwa kwamba inawasomea rada wachezaji wengine wapya nane...

Simba inakimbiza mwizi kimya kimya

0
Leo klabu ya Simba Sc imetoa picha za John Bocco akisaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo. Hakuna ubishi mkataba huu ulisainiwa kabla ya...

DJUMA WA SIMBA KUIBUKIA KMC

0
MASOUD Djuma kipenzi cha mashabiki anapewa nafasi ya kutua bongo akiwa kwenye dawati la ufundi wa timu ya Manispaa ya Kinodoni 'KMC' ambayo kwa...

NYOTA WA MWADUI AIYEE AWAAMBIA YANGA WAPELEKE MKWANJA MREFU

0
NYOTA wa Mwadui FC, Salum Aiyee amesema kuwa anatazama timu yenye mkwanja mrefu ili asaini kwani ofa alizonazo mkononi kwa sasa ni nyingi.Akizungumza na...

KAZI IMEANZA SIMBA WAJIBU MAPIGO YA YANGA, WAANZA NA BOCCO MIAKA...

0
UNAAMBIWA Uongozi wa Simba baada ya kuona watani zao wa jadi Yanga wao wameanza na kiungo fundi Papy Tshishimbi kumuongezea mkataba wao wameanza kujibu...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS