admin
BRAZIL YATWAA COPA AMERICA BILA NEYMAR, YAITANDIKA PERU 3-1
Brazil imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Copa America kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Peru.Wafungaji ni Everton Soares 15', Gabriel Jesus 45+3'...
KAKOLANYA: SIMBA WENYEWE WATANIPENDA
BENO Kakolanya mlinda mlango mpya wa Simba ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili amesema kwamba hana mashaka na uwezo wake hivyo mashabiki watampenda.Kakolanya amesema...
AZAM FC WAANZA KWA USHINDI KAGAME
MABINGWA watetezi wa kombe la Kagame leo wameanza vema kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mukura FC.Bao pekee la ushindi lilifungwa na mshambuliaji...
AIYEE AANZA NA MGUU WA KULIA KMC
SALIM Aiyee mshambuliaji mpya wa kikosi cha KMC ameanza kwa kucheka na nyavu baada ya kufunga bao kwenye mchezo wake wa kwanza wa michuano...
HAJI MANARA APEWA JUKUMU JIPYA NDANI YA SIMBA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa umempa kazi maalumu Ofisa Habari wa kikosi hicho kabla ya siku ya Simba day ambayo ni maalumu kwa ajili...
LIONEL MESSI HANA IMANI NA WAANDAAJI WA COPA AMERICA
LIONEL Messi mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Argentina amesema kuwa hana imani na waandaaji wa michuano ya Copa America kwani wanawapendelea waandaaji ambao...
RAIS WA SHIRIKISHO LA MISRI AMPIGA CHINI KOCHA MKUU KISHA NAYE...
BAADA ya timu ya Taifa ya Misri kutolewa hatua ya 16 bora na timu ya Afrika Kusini kwa kufungwa bao 1-0 jana uwanja wa...
BREAKING: AMUNIKE APIGWA CHINI STARS, MBADALA WAKE AANZA KUSAKWA
Inaelezwa kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefikia makubaliano ya kuacha na Kocha Emmanuel Amunike aliyekuwa anainoa Taifa Stars.Hatua hiyo imekuja kufuatia kuboronga mechi...
MASHABIKI WA MISRI BADO HAWAAMINI, MBIO ZA SALAH ZAFIKA UKINGONI
MOHAMED Salah mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Misri anayekipiga timu ya Liverpool kwa sasa naye atakuwa ni mtazamaji wa michuano ya Afcon ambayo...