admin
STRAIKA SIMBA ASIFIA USAJILI WA BALINYA YANGA
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Mganda, Hamis Kiiza ameusifu usajili mpya wa mshambuliaji, Juma Balinya aliyetokea Polisi ya Uganda.Kauli hiyo ameitoa hivi karibuni mara...
ZAHERA AMUWASHIA MOTO GADIEL MICHAEL, ATOA MASHARTI MAZITO KWA VIONGOZI YANGA
Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesikia taarifa za beki wake wa pembeni, Gadiel Michael kugomea kusaini mkataba akasonya na kuwaambia viongozi; “Mnambembeleza...
BAADA YA KUPIGWA MKWARA NA ZAHERA, GADIEL MICHAEL NAYE ATOA MAAGIZO...
Beki wa klabu ya Yanga, Gadiel Michael amesema yupo tayari kusaini Yanga mkataba mpya iwapo tu klabu hiyo itafikia dau na masharti ambayo amewapa,...
ISHU YA GADIEL MICHAEL YAZIDI KUSHIKA KASI, CHAMPIONI IJUMAA LINA MAJIBU
ISHU ya Gadiel Michael kesho itakuwa ndani ya gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
SABABU KUBWA ZA KAHATA KUMALIZANA NA SIMBA ZATAJWA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa sababu kubwa ya Francis Kahata kusajiliwa ni uwezo wake mkubwa ndani ya kikosi cha timu ya Taifa pamoja na...
YANGA YATOA TAMKO ZITO KUHUSU WACHEZAJI WAKE WANAOWASUMBUA KUSAINI KANDARASI MPYA,
MSHINDO Msolla Mwenyekiti wa Yanga amesema kuwa klabu ya Yanga ni kubwa kuliko mchezaji hivyo hawana presha na beki Gadiel Michael ambaye mkataba wake...
KMC WAMALIZANA NA MAJEMBE MAWILI YA CONGO
BESALA Bokungu mlinzi wa kati kutoka timu ya Groupe Bazano ya Ligi Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo amejiunga na KMC kwa kandarasi...
MABINGWA WATETEZI WA KAGAME AZAM FC WAWASILI RWANDA
KIKOSI cha Azam FC kimewasili salama nchini Rwanda ambako kimeelekea leo kwa ajili ya michuano ya kombe la Kagame.Azam FC wanakwenda kutetea kombe lao...
SIRI IMEVUJA DIMPOZ, ZARI WALALA NYUMBA YA MONDI
ACHANA na mapichapicha ya Nairobi nchini Kenya yaliyosambaa kama moto wa kifuu kwenye mitandao ya kijamii, taarifa mpya imevuja kwamba, msanii wa Bongo Fleva,...