admin
Metacha ni nyanda anayekuja kusahihisha makosa ya Manula
KAMA kweli atakamilisha usajili wake wa kujiunga na Yanga SC akitokea Mbao FC, golikipa, Metacha Mnacha atakuwa bora Zaidi ya Aishi Manula...
BREAKING: AJIBU APIGWA PINI MAZIMA SIMBA
IBRAHIM Ajibu amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu ya Simba akitokea Yanga.Ajibu msimu wa 2018-19 alikuwa kwenye ubora wake baada ya kutoa jumla...
LIONEL MESSI ALIA NA WAAMUZI
Lionel Messi mshambuliaji wa timu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina amesem kuwa timu yao ya Taifa imeponzwa na maamuzi ya waamuzi...
AZAM FC KUKWEA PIPA KESHO KUELEKEA RWANDA
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Ettiene Ndayiragije ameahidi kutetea ubingwa wa kombe la Kagame ambalo linatarajiwa kuanza Julai 7-21 nchini Rwanda.Azam FC ni watetezi...
NAFASI YA HAJI MANARA SIMBA YAGOMBEWA KWA KASI YA KUTISHA
BAADA ya Simba kutangaza nafasi za kazi hivi karibuni kwa vitengo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kitengo cha Media Officer (Ofisa Habari), Chief Executive Officer...
COASTAL UNION YAMKOMALIA KIBA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa nyota wa timu hiyo ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongo Fleva Ally Kiba yupo sana...
MRITHI WA SARRI, LAMPARD KUTANGAZWA KESHO
Mchezaji wa zamani wa Chelsea Frank Lampard atatangazwa kama kocha mpya wa kikosi cha Chelsea kuja akichukua mikoba ya Maurizio Sarri.Sarri ametimkia kukinoa kikosi cha...
RATIBA YA TIMU ZILIZOTINGA 16 BORA AFCON
BAADA ya timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kupoeza mechi zake zote kwenye kundi C michuano ya Afcon zilizotinga hatua ya 18 hizi...
KOCHA YANGA ASHINDWA KUJIZUIA, ATOA TAMKO JUU YA WABRAZIL SIMBA
Kocha wa timu ya wanawake ya Yanga, Mohamed Hussein ‘Mmachinga’, amesema kuwa wachezaji wote wa kigeni ambao wamesajiliwa na Simba, wataibeba timu hiyo kimataifa...
SIMBA KUKIPIGA NA ARSENAL KWA MKAPA
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Simba na mwekezaji wa Klabu hiyo, Mohammed Dewji ‘Mo’, ameonekana akiwa na jezi ya Timu ya...