admin
BABU TALE: ALIKIBA HANA HELA YA KULIPA ‘BODIGADI’, ALIFANYA ‘SHOO’ CLUB...
Meneja wa Msanii Diamond Platnumz afunguka kuhusu wasanii wa WCB kuwa na walinzi na kusema anayepinga kuwa na walinzi hana pesa ya kuwalipa.
HATMA YA OKWI SIMBA YAFICHUKA MWENYEWE AFUNGUKA MAZITO, MPANGO MZIMA KESHO...
CHAMPIONI Jumamosi litakuwa na habari za kutosha juu ya usajili wa Simba, Yanga, Azam FC, Lipuli mpaka Ulaya usikubali kukosa
AZAM FC YASAJILI MAJEMBE MATATU, MSHAMBULIAJI MMOJA ALICHEZA SIMBA
SELEMAN Ndikumana, mshambuliaji kutoka Al Adalah ya Saud Arabia amejiunga na klabu ya Azam FC kwa kuasini kandarasi ya mwaka mmoja.Ndikumana raia wa Burundi ametua Azam...
AC MILAN YAFUNGIWA KUSHIRIKI MICHUANO YA ULAYA
Klabu ya soka ya AC Milan ya Italy yenye makazi yake katika uwanja wa San Siro itatumikia kifungo cha mwaka mmoja kutokushiriki michuano ya...
RASMI HARUNA NIYONZIMA AACHANA NA SIMBA
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, amewaaga mashabiki wa timu hiyo na kuwashukuru kwa yote waliyoshirikiana kwa kipindi cha misimu miwili ndani ya...
AJIBU PASUA KICHWA, AWAZIMIA SIMU MABOSI WA TP MAZEMBE
UNAAMBIAWA TP Mazembe, bado wamemkomalia nyota wa Yanga, Ibrahim Ajibu ambaye usajili wake uliingia doa kwa kushindwana kwenye malipo.Wakala wa TP Mazembe, Patrick Mazembe...
ADHABU YA WARDA WA MISRI, BADO INABAKI NA UJUMBE KWETU
Na Saleh Ally, CairoGUMZO kubwa la hapa Misri ni kuondolewa kwa kiungo Amr Warda katika timu ya soka ya taifa ya Misri.Inakuwa vigumu kujua...
MATOLA WA POLISI TANZANIA KUIBOMOA YANGA NA LIPULI
BEKI wa Yanga, Haji Mwinyi, huenda akatua Polisi Tanzania iliyo chini ya Suleman Matola ambaye amesaini kandarasi ya mwaka mmoja.Mwinyi kwa sasa yupo huru...