admin
BEKI MWINGINE MPYA NA YANGA KIMEELEWEKA
INADAIWA kuwa beki wa Lipuli FC, Ally Mtoni ‘Sonso’ tayari amemalizana na uongozi wa Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara...
MAPILATO WA AZAM FC NA LIPULI LEO HAWA HAPA
Hance Mabena leo atakuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho FA utakaochezwa uwanja wa Ilulu, Lindi majira ya saa...
LIPULI: TUNAIPIGA AZAM FC NA PIPA TUNAKWEA
KOCHA wa Lipuli, Seleman Matola amesema kuwa wana shauku kubwa ya kukwea pipa ili kuiwakilisha nchi kimataifa hivyo kazi yao leo ni kuwakalisha wapinzani...
SUALA LA VAR AFRIKA NI PASUA KICHWA
TIMU ya Esperance imetwaa ubingwa wa klabu bingwa Afrika kwenye mchezo wa fainali ya pili dhidi ya Wydad Casablanca baada ya Wydad kugoma kuendelea...
NYOTA HAWA WATATU KIKOSI CHA KWANZA SIMBA WAMSHANGAZA MBELEGIJI
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa anaona ajabu kwa nini nyota wake watatu wa kikosi cha kwanza hawajaitwa timu ya Taifa itakayoshiriki...
KAZI IPO LEO FAINALI FA ILULU, LIPULI VS AZAM FC
LEO Azam FC itamenyana na Lipuli fainali ya kombe la Shirikisho mchezo utakaochezwa uwanja wa Ilulu, Lindi ikiwa ni mara ya kwanza kwa timu...
Meddie Kagere akabidhiwa tunzo yake.
Moja ya dhumuni kuu la tovuti yetu ni kusheherekea mafanikio ya watu ambao wanafanya vizuri katika ulimwengu huu wa soka kwa Tanzania....
SIMBA WAFUNGUKA JUU YA KUMSAJILI AJIBU WA YANGA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa hauna haraka ya kufanya usajili kwa kuwa walikuwa wanasubiri ripoti ya mwalimu na tayari wameshaipata hivyo watatoa...
KIBA ATAJA SABABU YA NIFUATE PROJECT, JUNI 2 KUWAKA TAIFA
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Ali Kiba amesema kuwa sababu kubwa za kuandaa mchezo maalumu utakaochezwa jumapili uwanja wa Taifa ni kuisaidia jamii...