admin
ETO’O: STARS ITAFANYA MAAJABU AFCON
NGULI wa soka wa Cameroon, Samuel Eto’o ameweka wazi kuwa anaamini timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itafanya kweli katika mashindano ya Kombe...
LISTI KAMILI YA WACHEZAJI 10 WLAIOMWAGA WINO YANGA HII HAPA, SI...
LISTI kamili inayotajwa kusajiliwa na Yanga mpaka sasa1. Issa Bigirimana (APR Rwanda)2. Patrick Sibomana- (Mukura Victory Rwanda)3. Mohammed Camara- (Horoya Guinea)4. Mustapha Suleiman- (Aigle...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi
MBIVU NA MBICHI ZA ZITAKAZOSHUKA NA KUPANDA TPL KUJULIKANA LEO
MBIVU na mbichi kwa timu za Ligi Kuu Bara (TPL) Kagera Sugar na Mwadui FC kubaki ama kushuka moja kwa moja itajulikana leo baada...
HAZARD: NIMEFANYA JAMBO GUMU MAISHANI KUONDOKA CHELSEA
BAADA ya Real Madrid kukamilisha dili la Eden Hazard kutoka Chelsea kwa dau la Euro milioni 150, Hazard amesema amefanya maamuzi magumu kwenye sekta...
YANGA HAWATAKI UTANI, WANAUTAKA UBINGWA WA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
BAADA ya kupata nafasi ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga imeweka wazi lengo lao ni kutwaa ubingwa huo msimu ujao.Yanga imepata...
SINGIDA UNITED WAJA NA MTINDO MPYA WA USAJILI, WATANGAZA FURSA
UONGOZI wa Singida United umetangaza fursa kwa wachezaji wote ambao wanahitaji kujiunga na kikosi hicho kwa ajili ya msimu mpya wa mwaka 2019/20.Akizungumza na...
KOCHA YANGA AFICHUA SIRI YA MABAO YA KINDOKI
KOCHA wa magolikipa wa kikosi cha Yanga, Juma Pondamali amesema kuwa kikubwa kilichokuwa kinamponza mlinda mlango Klaus Kindoki kushindwa kufanya vizuri ni hofu akiwa...
TAIFA STARS: HAKUNA CHA KUHOFIA TUNAKWENDA KUFANYA MAAJABU
NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta amesema kuwa wanakwenda kufanya maajabu nchini Misri kwa kuwa wanajua wanapeperusha Bendera ya Taifa kwenye...