admin
HAWA HAPA WACHEZAJI WA KUCHUNGWA KWA PANDE ZOTE MBILI…WAKIZUBAA TU WATU...
TAKWIMU za mechi sita zilizopita za Ligi kwa kila timu, zinatoa taswira kuwa wachezaji wanne wenye majukumu ya kushambulia watakuwa katika ulinzi mkali wa...
DAKIKA CHACHE KABLA YA GAME KUANZA…SUKARI YOTE YA MECHI LEO HII...
MBINU ya kutumia idadi kubwa ya wachezaji katikati mwa uwanja huenda ikaongeza utamu wa mechi ya watani wa jadi, Yanga na Simba itakayochezwa leo...
BAADA YA YANGA KUILALAMIKIA SIMBA KWA KUISUSA MECHI YA LEO…AHMED ALLY...
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amezijibu tuhuma za Watani zao wa jadi, Yanga kwamba Simba wamekaa...
KUELEKEA MECHI YA LEO….AUSSEMS AIUA SIMBA MAPEMAA…AIBETIA YANGA USHINDI WA KISHINDO…
Kocha wa zamani wa Simba, Patrick Aussems, raia wa Ubelgiji, ameweka wazi kuwa kwa upande wake, anaona Yanga wana nafasi kubwa katika mchezo wa...
YANGA vs SIMBA….LIWALO NA LIWEE…CHAMA, MORRISOM MZUKA JUU…MO AMALIZA….
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumamosi.
GEORGE MPOLE AZIDI KUMKIMBIZA MAYELE KIMYA KIMYA…AZAM BADO SANA MECHI ZA...
Geita Gold FC na Azam FC zimegawana alama moja moja kwenye mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania bara uliochezwa jana Jioni katika dimba la...
PRINCE DUBE ARINGA KISA REKODI YAKE YA KUIFUNGA YANGA BADO INADAI...
MSHAMBULIAJI wa Azam, Prince Dube anajivunia rekodi yake ya kuifunga Yanga ambayo imedumu kwa mwaka mmoja sasa bila ya kuvunjwa.Rekodi hiyo ni ile ya...
KISA JANJA JANJA YA MAYELE NA WENZAKE…PABLO AFANYA KIKAO KIZITO NA...
Mara baada ya kikosi cha Simba kutua nchini, haraka Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mhispania, Pablo Franco alifanya kikao kizito na wachezaji wake wote...
BAADA YA MUGALU KUHARIBU….SIMBA WAPATA MTAMBO WA MAGOLI SAUZI…AMEFUNGA GOLI MBILI...
Unaambiwa kosa la kupigwa kadi nyekundu kwa mshambuliaji Chris Mugalu limemfanya Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco kuwaomba viongozi wake kuhakikisha wanamshawishi mmoja wa...
PIGA HAOOO….MABOSI SIMBA WAVAMIA KAMBI USIKU…MAYALE ASISITIZA LAZIMA ATETEME TU…CHAMA APEWA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi leo Jumamosi.