Marce Ben Komba
“KUNA WATU WAMEWEKEZA PESA WANA…MICHAMBO,MASIMANGO NA MINUNO”…ALLY KAMWE
Zikiwa zemesalia siku chache ambapo Klabu ya Yanga itakutana na Rivers United kutokea nchini Nigeria katika mechi ya marudiano Kombe la Shirikisho CAF,
Afisa...
IMEFICHUKA!!!….MAYELE KUTWAA KIATU CHA DHAHABU…KOMBE LA SHIRIKISHO
Afisa Habarai wa Klabu ya Yanga, Alikamwe amesema kuwa
Mshambuliaji wa timu hiyo Fiston Mayele amewaambia wachezaji wenzake wamsaidie kupata kiatu cha dhahabu cha ufungaji...
VINICIUS JR AITWA NYANI MECHI NA GIRONA…UBAGUZI WAENDELEA KWA KASI
Vinicius Jr alifanyiwa ubaguzi wa rangi tena nchini Spain wakati wa mtanange wa ligi kuu kati ya Girona dhidi ya Real Madrid mashabiki wa...
MMH HUYU HAALAND NI JINI AU MTU?….MANCHESTER CITY VS ARSENAL
Dakika 90 za mchezo wa ligi kuu nchini England zimemalizika kwa Man City kufanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-1 dhidi ya Arsenal...
KOCHA SIMBA AWASOMA WYDAD AC…AWAINGIZA KWENYE MTEGO HUU HATARI
Kocha Mkuu wa Simba SC, Robert Oliviera 'Robertinho' amesema atapangua kikosi chake kwa ajili ya mchezo wa Mkondo wa Pili wa Robo Fainali Ligi...
AISEE!! HUYU SAMATTA WAMUACHE…WAZUNGU WAPASUKA VICHWA WAMUOGOPA
Nyota ya nahodha wa timu ya Taifa Tanzania na mshambuliaji wa klabu ya KRC Genk, Mbwana Samatta imeendelea kung'aa baada ya juzi kufunga bao...
BACCA AFICHUA YANAYOENDELEA YANGA…”SIWEZI KUTAJA SIFA ZA MCHEZAJI…AFUNGUKA HAYA
Beki wa Kati wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Ibrahim Abdullah 'Bacca' amesema ubora wa safu ya ulinzi wa kikosi chao ndio...
HATIMAYE SIMBA…YAPATA MRITHI HUYU WA TSHABALALA…ATOBOA SIRI NZITO
Beki wa kushoto wa Ihefu FC Yahya Mbegu amevunja ukimya na kuweka wazi kuwaniwa na timu za Simba SC na Singida Big Stars, kuelekea...
MSHAMBULIAJI BONGO…APEWA SHAVU UBELGIJI…KUKIPIGA NA SAMATTA
Imeelezwa kuwa mshambuliaji wa Kagera Sugar, Anuary Jabir 'Falcao' ameongezewa muda zaidi wa majaribio kwenye klabu ya KAA Gent inayoshiriki Ligi Kuu Ubelgiji.
Awali mshambuliaji...
TANZIA:KOCHA APATA AJALI YA GARI…AFARIKI DUNIA…KUZIKWA LEO
Mwili wa Francis John, aliyekuwa kocha wa mwanariadha, Alphonce Simbu, utazikwa leo Aprili 26 nyumbani kwake jijini Arusha.
Francis alifariki jioni ya Jumamosi iliyopita kwa...