Marce Ben Komba
MSUVA AWAKANA YANGA…SIMBA NI KLABU KUBWA AFRIKA…INAFANYA VIZURI LIGI YA MABINGWA
Simon Msuva, akiwa Live na Wasafi FM, 🗣 kitu kinachoifanya Simba Sc kuonekana zaid Africa ni kufanya kwao vizur katika michuano ya CAF
Na jambo...
WANAOKUSHANGILIA WATAKUJA KUKUCHEKA…KIUNGO SIMBA AMSHAURI FEISAL SALUM “FEI TOTO”
Akiwa na Takriban miezi minne pasipo kucheza mpira kutokana na mgogoro wa Kimkataba biana yake na Klabu yake ya Yanga huku taarifa za uhakika...
YANGA “HATUMUOGOPI MTU…TUNAMSUBIRI YOYOTE…LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Baada ya kufanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shiriko Afrika, uongozi wa Yanga umeibuka na kutamka kuwa levo ambazo wanazo, wao...
CHAMA MFUNGAJI BORA LIGI YA MABINGWA…LIST KAMILI HII HAPA
Kingo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chota Chama ameingia kwenye orodha ya wachezaji wanaoongoza kwa kupachika mabao katika katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2023.
Mpaka...
INONGA NA MAYELE NDANI YA KIKOSI KIMOJA…WAONDOKA DAR ES SALAAM
Mlinzi wa kati wa klabu ya Simba Sc Henock Inonga Baka na Mshambuliaji wa Young Africans Fiston Kalala Mayele tayari wameanza majukumu katika timu...
SIMBA NI JIWE WALILOKATAA WAASHI…LIMEKUWA JIWE KUU LA PEMBENI
HOROYA AC ya Guinea walichapika haswa juzi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa pale Temeke Walipigika hasa.
Unapoona kiungo wa chini, Sadio Kanoute akiondoka uwanjani...
MPOLE: “SIMBA IANGALIWE KWA JICHO JINGINE…UBORA WA SIMBA UMEIFANYA YANGA KUJITAFAKARI
KINARA wa mabao wa Ligi Kuu Bara kwa msimu uliopita, George Mpole anayekipiga FC Lupopo ya DR Congo kwa sasa amesema kutinga kwa Simba...
“TRY AGAIN” WA SIMBA:- HOROYA TUMEWAPIGA…VIPIGO VITAENDELEA HADI FAINALI…
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, Salum Abdallah 'Try Again' amesema kutinga kwa timu hiyo hatua ya robo fainali ya Ligi...
NABI AONGEZEWA MKATABA YANGA…”BADO YUPO KUONDOKA SIO SASA
YANGA juzi usiku ilikuwa uwanjani ikisaka heshima yake ya kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini nyuma mabosi...
MAGAZETI: YANGA YAANDIKA REKODI MAYELE,MUSONDA WAFUNIKA…PIRA JINGI MANENO KIDOGO
Mwanamichezo March 20, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania