Staff Desk
NAMUNGO KUIVURUGA YANGA, KAZE AMFANYIA UMAGIA GAMONDI
Kocha Mkuu wa Namungo ambaye msimu uliopita alikuwa Msaidizi pale Yanga, Cedric Kaze anaendelea kukinoa kikosi chake ili wafanye kweli tarehe 20 dhidi ya...
ROBERTINHO MATATANI SIMBA, UONGOZI WATOA TAMKO HILI
Taarifa za ndani kutoka Simba zinaeleza kuwa Kibarua cha kocha wa Simba kipo mashakani hiyo ni baada ya Uongozi wa Simba kumpa mechi moja...
UCHOCHORO WA SIMBA KUWA KIBONDE UKO HAPA
Tangu Golikipia namba moja wa Simba SC, Aishi Manula apate majeraha ambayo ndiyo yamemweka nje mpaka sasa, Simba imekuwa sio timu tena ya kuhakikisha...
ROBERTINHO AKUNA KICHWA AONA HAPANA……….. SASA AMEKUJA NA HESABU HIZI
Kocha wa Simba, Robert Olveira 'Robertinho' amesema wanarudi na hesabu kali huku wakijipanga vizuri kwa kushinda watakapokuwa nyumbani mbele ya mashabiki wao, lakini kwanza...
GAMONDI AJA NA MSIMAMO HUU KWENYE SHEREHE ZA YANGA
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi amesema pamoja na ushindi walioupata juzi dhidi ya Al Merreikh ya Sudan lakinà bado wana kazi ya...
NGEREZA AWALIPUA SIMBA……… LABDA YANGA LAKINI SIMBA HAWATOBOI
Baada ya Simba kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Power Dynamos ya Zambia mchezo wa mtoano mkondo wa kwanza kuwania kufuzu hatua ya...
GAMONDI BADO AWATAMANI AL MAREIKH…….ATOA KAULI HII
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi licha ya kuwapongeza wachezaji wake amesema walistahili ushindi mkubwa zaidi ya huo dhidi ya wapinzani wao.
Gamondi alisema bado hawajamalizana...
KOSA LA SIMBA KUSHINDWA KUTAMBA KIGALI……. HILI HAPA
Meneja wa Habari na Mawasiliano, Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema baada ya sare ya mabao 2-2 dhidi ya Power Dynamos, kikosi kinarejea nchini...
HISTORIA KUANDIKWA WAACHENI WAJE, HAIJAWAHI KUTOKEA AFRIKA….. MAKOCHA WAFUNGUKA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
SIMBA KESHO MAPEMA TU, HALI IKO HIVI
Kikosi cha Simba SC kinatarajiwa kuwasili nchini kesho Jumatatu ya Septemba 18, 2023 kikitokea nchini Zambia katika ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa barani...