Staff Desk
KWA MAANDALIZI HAYA YA SIMBA, POWER DYNAMO HAWANA BAHATI
UONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa, muda uliopo kwa sasa ni benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kusuka silaha za maangamizi...
MSUVA ATOA KAULI NZITO, SIMBA, YANGA ZATAJWA
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva amepanga kufunga zaidi ya mabao 10 kwenye msimu wake wa kwanza wa Ligi Kuu Algeria ‘Ligue Professionnelle...
GAMONDI AVUNJA UKIMYA, AFUNGUKA HAYA KUHUSU KONKAN
Kocha MKuu wa Yanga raia wa Argentina Miguel Gamondi amesema kuwa hana haraka na straika wake Mghana Hafiz Konkoni kwani anaamini kuwa atampa anachotaka.
Gamondi...
KWA HILI YANGA HII IMESHAKUWA BALAA
Yanga juzi walicheza mchezo wao wa pili Ligi Kuu Bara wakifanikiwa kichapa JKT Tanzania mabao 5-0.
Kwa idadi hiyo kubwa ya magoli 5 unaweza kufikiri...
NABI AITABIRIA MAKUBWA YANGA YA GAMONDI
Kocha wa zamani wa Yanga, Nassredine Nabi amesema kuwa ameiangalia Yanga ya sasa chini ya Miguel Gamondi na kusema kuwa inauwezo mzuri wa kutwaa...
PHIRI AFUNGUKA KILA KITU KUHUSU UGOMVI WAKE NA ROBERTINHO, ISHU IKO...
Mshambuliaji wa Simba, Moses Phiri amevunja ukimya kwa kusema hana tatizo lolote na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbrazil, Robert Oliveira ‘Robertinho’ kutokana na...
MAMBO HADHARANI FAILI LA AFYA YA KRAMO HILI HAPA
Winga wa Simba Aubin Kramo ameanza mazoezi katika viwanja vya MO Simba Arena. Raia huyo wa Ivory Coast aliyeibuka ndani ya Simba akitokea ASEC...
VIGOGO HAWA SIMBA, YANGA BADO SANA
Wakati wachezaji wa kigeni wa Azam FC wakionesha uwezo mkubwa wanapokutana na vigogo Simba na Yanga huku mara kadhaa wadau wakivitaka Simba na Yanga...
ONANA NIMEWASIKIA, KRAMO MAMBO FRESH… GAMONDI MOTO UNAKUJA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KIUNGO SIMBA : YANGA HII INATISHA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo