Staff Desk
MWENYEKITI WA SIMBA SC AFARIKI DUNIA
SIMBA SC imetangaza kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo, Ayubu Saleh Chamshama aliyefariki Agosti 11, 2023 akiwa hospitali nchini India.
Taarifa ya klabu hiyo...
BADO NI SIMBA, YANGA SASA NI KIGOMA UNAAMBIWA SIO POA
KOCHA wa Mashujaa, Mohamed Abdallah βBaresiβ amesema kwa namna mashabiki wa Kigoma walivyo na hamu ya kuziona timu kama Simba, Yanga, Azam FC na...
CHE MALONE AWA MWIBA KWA CHILUNDA NA PHIRI, ROBERTINHO AMPA NENO...
KAMA mashabiki wa Simba wakienda mazoezini wanaweza kutoa tuzo ya usajili bora kuwa beki kitasa Che Fondoh Malone, kwani jamaa kazi anaipiga sawasawa.
Unachokiona uwanjani...
ROBERTINHO MTEGONI SIMBA….. ISHU IKO HIVI USAJILI WAGUSIWA
Simba imefanya usajili mkubwa kwa ajili ya msimu huu wa mashindano. Imeshusha vifaa vya maana kwelikweli.
Imewashusha Che Fondoh Marlone, Leandre Onana, Luis Miquissone, Aubin...
AMRI KIEMBA AMKINGIA KIFUA SALIM ALLY, ASEMA HAYA KUHUSU SAKATA LA...
Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars na Mchambuzi wa michezo kupitia kituo cha Clouds Media Amri Kiemba amewataka Mashabiki...
ROBERTINHO AMTISHA GAMONDI…. NDOO ZOTE ZETU…..SOKA LA GAMONDI LAWAKUNA MABOSI YANGA,...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
UTATA KWISHA, BOSI WA WAAMUZI AVUNJA UKIMYA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
BAADA YA KUTWAA NGAO YA JAMII, SIMBA WASEMA HAYA KUHUSU MAKOMBE...
Kiungo wa Simba SC Sadio Kanoute ameweka wazi mwanzo mzuri wa msimu Kocha Robertinho amepata muda wa kutosha kujiandaa na wachezaji na anaamini ni...
PHIRI AFUNGUKA HAYA KUHUSU PENALTI ALIYOKOSA KWENYE NGAO YA JAMII
Mshambuliaji wa Simba Moses Phiri ameandika katika mtandao wa Instagram kuwa amechelewa kuchapisha picha akiwa na Ngao ya Jamii kwakuwa alitingwa katika kuutafuta mpira...
GAMONDI AIPA TANO SIMBA, BAADA YA KIPIGO
Licha ya kupoteza mchezo wa ngao ya jamii kocha mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi amesema amefurahishwa na kiwango walichokionyesha vijana wake.
Licha ya...