Staff Desk
GAMONDI ATAMBA, YANGA BADO HAWAJAANZA KUTUMIA MIFUMO YAKE
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi licha ya timu yake kupata matokeo dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Nusu Fainali ya Ngao ya...
WAKATI WOWOTE SASA SIMBA WANAMTAMBULISHA KIPA HUYU
Klabu ya Simba wanatarajia muda wowote kumtangaza kipa raia wa Morocco, Ayoub Lakred, aliyehudumu takribani misimu minne katika klabu ya mabingwa wa Morocco msimu...
WADAU WAITABIRIA YANGA KUNYAKUA NGAO YA JAMII ISHU IKO HIVI
Baadhi ya wachambuzi wa soka na wadau wa kabumbu nchini wanaipa Young Africans Sports zaidi ya asilimia 50 kushinda taji la Ngao ya Jamii...
SIMBA WALIAMSHA DUDE WATOA KAULI NZITO HUKO SUPER LEAGUE, SIO AL...
Mabosi wa Simba, wameweka wazi mkakati wao ni kuhakikisha wanafanya vizuri katika michuano ya Afrika Super League, bila ya kuangalia watapangwa na mpinzani wa...
MAYELE AIKATAA YANGA HADHARANI MBELE YA MASHABIKI, ASEMA YEYE SIO SHABIKI...
Mshambuliaji wa zamani wa AS Vita Club ya Congo na Yanga SC, Fiston Kalala Mayele ambae kwa sasa nakipiga kwenye Klabu ya Pyramids FC...
MTATOKEA WAPI! CHAMA KUKIWASHA NA ONANA PALE KATI, YAO, MAXI KUTEKA...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
WAMEJILETA,… WACHEZAJI YANGA WATENGEWA MIL 200 KUIUA SIMBA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
ROBERTINHO ALALAMIKA HUKU AKIWAPA ONYO YANGA!!! NOMA KWELI
Baada ya jana kufanikiwa kutinga hatua ya Fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Big Stars kwa ushindi wa penati 4-2.
Kocha wa Simba...
MENEJA WA YANGA NAE AJA NA HILI KWENYE MECHI YA SIMBA...
Meneja wa Klabu ya Yanga, Walter Harson jana amezungumzia hali ya kikosi chao kuelekea maandalizi ya mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii utakaopigwa...
MOLOKO KURUKA NA SIMBA SASA AUGUST 13
Winga wa Yanga Jesus Moloko amemaliza adhabu ya kufungiwa mechi tatu na sasa yuko tayari kwa mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii dhidi...