Staff Desk
ISHU YA CHAMA KWENDA YANGA IMEBAKI STORI, SIMBA WAZIMA NGOMA KIBABE
ishu ya Clatous Chama na Simba ni kama imeisha na muda wowote kiungo huyo atarejea mzigoni.
Chama alitingisha kutaka kutimka klabuni hapo kwa kile alichodai...
SIMBA DAY KUPIGWA AGOSTI 6, AHMED ALLY ATAMBA
TAMASHA la 'Simba Day' mwaka huu litafanyika rasmi Agosti 6 badala ya Agosti 8 kama ambavyo imezoeleka kila msimu kwenye timu ya Simba.
Tamasha hilo...
SABABU ZA MAYELE KUITIKISA YANGA ZAWEKWA WAZI MZIZE ATAJWA
MASHABIKI wa Yanga kwa sasa akili hazijatulia, hii ni kutokana na vuta nikuvute iliyopo baina ya klabu hiyo na straika Fiston Kalala Mayele. Mwamba...
SIRI YA DUCHU KUREJEA SIMBA YATAJWA, MWENDA KAPOMBE WAHUSISHWA
SIMBA iko nchini uturuki ilikokita kambi maalumu ya kujifua kwaajili ya msimu ujao iliopanga kufanya mapinduzi na kurejesha ufalme wake uliotwaliwa na watani zao...
CHAMA HAAMINI MACHO YAKE, UONGOZI WA SIMBA WAMFANYIA UMAFIA
Wakati kiungo Clatous Chama akiitingisha klabu yake, mabosi wake wamecheza mchezo wa kimafia wakimzidi akili kwa kufanya maamuzi ambayo yamemuacha hoi.
Chama alitingisha kutaka kutimka...
SIMBA BAADA YA KUMPA THANK YOU SAWADOGO, MAPYA YAIBUKA
SIKU chache tu tangu apewe 'Thank You' na klabu ya Simba baada ya kukubaliana kuvunjiwa mkataba wa kuichezea timu hiyo, kiungo mkabaji Ismael Sawadogo...
ISHU YA MKATABA WA CHAMA WAVUJA, VIONGOZI WA SIMBA WAHAHA ISHU...
Hali si shwari baada ya kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama kudaiwa kutaka limalizana na timu hiyo kwa kigezo cha mkataba kumalizika akisema ana...
HII SASA SIFA, UNAJUA KWANINI? SIMBA KAMA INATAKA KUKOMOA
HII sasa sifa. Simba ni kama inataka kukomoa. Unajua kwa nini? Baada ya kukosa taji lolote katika misimu miwili mfululizo, safari hii mabosi wa...
KUMBE MKUDE SIO JEZI NAMBA 6 WA YANGA, ALLY KAMWE AFUNGUKA...
Joto likiwa linazidi kupanda kwa Mashabiki wa Soka nchini wakitaka kumjua mchezaji atakaeva jezi namba 6 ya Yanga ambayo ilikuwa ikivaliwa na Feisal Salum...
WAKATI SIMBA , YANGA WAKIENDELEA KUTANGAZA WACHEZAJI WAKE WAPYA…. WASENEGAL WA...
WACHEZAJI wapya wa Azam FC kutoka Senegal, beki Cheikh Sidibe na mshambuliaji Alasane Diao wameanza vizuri baada ya kufunga mabao katika mchezo wa kirafiki...