Staff Desk
KOCHA WA YANGA AWEKA CV HADHARANI, ATOA KAULI NZITO KWA MASHABIKI
YANGA SC, imematangaza Miguel Ángel Gamondi, kuwa kocha mpya wa timu hiyo akichukua mikoba ya Mtunisia, Nasreddine Nabi ambaye waliachana naye hivi karibuni baada...
FEI TOTO AFUNGUKA KITU ATAKACHOIFANYIA AZAM, AWAAMBIA HAYA WACHEZAJI WENZAKE
KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema amezungumza na wachezaji wenzake kikosini hapo na kukubaliana kufikia malengo yao msimu ujao wa 2023/24...
BREAKING NEWS : SIMBA WAMTAMBULISHA MCHEZAJI WAKE HUYU MPYA MUDA HUU
KLABU ya imemtambulisha beki wa katí, Che Fondoh Malone Junior kuwa mchezaji wake mpya kwa mkataba wa miaka miwili kutoka Coton Sport ya kwao,...
MSUVA AFUNGUKA MASHARTI YAKE HAYA KAMA SIMBA, YANGA ZINAMTAKA
WAKATI mastaa wenzake wa daraja lake wakila bata kwenye fukwe mbalimbali za starehe kipindi hiki cha mapumziko mambo ni tofauti kwa mshambuliaji wa kimataifa...
BAADA YA KOCHA MPYA WA YANGA KUTUA MASTAA HAWA KUPIGWA CHINI
KOCHA Mkuu wa Yanga ametua juzi usiku kutoka Brazili, lakini kitu ambacho mashabiki wa klabu hiyo wanapaswa kukaa wakikujua mpema ni kwamba beki wa...
YANGA WALAMBA SHAVU HILI KUTOKA NMB
Mwanachama wa Yanga akifungua akaunti atalipia Shilingi 34,000 kama kianzio cha kupata kadi ya Yanga (Shilingi 5,000 ni malipo ya kadi, 5,000 amana ya...
FEI TOTO AFUNGUKA HAYA KWA MARA YA KWANZA TANGU ALIPOTIMKA YANGA
Kikosi cha Azam FC kinajifua jijini Dar es Salaam huku kikisubiri kusepa kwenda kuweka kambi Tunisia, lakini nyota mpya wa timu hiyo, Feisal Salum...
ALIYEMFUKUZISHA ONYANGO SIMBA NAEAKUTWA NA JAMBO HILI
SIMBA iliendelea kushuka majembe mapya baada ya kutambulisha yule winga aliyeripotiwa mapema juzi na soka la bongo kwamba ameshasaini mkataba wa miaka miwili, Aubin...
SINGIDA FOUNTAIN GATE YAIONYESHA SIMBA JEURI YA PESA, YAIFANYIA KITU MBEYA...
Ushawishi wa pesa umeendelea kuwa kivutio kikubwa sana kwa klab hiyo yenye maskani yake Mkoani Singida,
Beno kakolanya alikuwa tayari kuongeza Mkataba ndani ya kikosi...
MWANASHERIA WA YANGA ALAMBA DILI FIFA,… YANGA WATIA NENO
Mkurugenzi wa Sheria wa Young Africans SC, Wakili Simon Patrick amechaguliwa na Baraza Kuu la Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa kwenye jopo la...