Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

SIMBA YAJIBU ISHU YA KUFUNGIWA KUSAJILI KISA SAKHO

0
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeifungia kusajili Klabu ya Simba mpaka itakapolipa madai ya Klabu ya Teungueth ya Senegal juu ya mauzo ya Mchezaji...

LICHA YA KIPIGO MALENGO YA TAIFA STARS YAKO PALEPALE KOMBE LA...

0
Morocco moja kati ya timu bora kabisa Afrika kwa sasa ikiwa inashika nafasi ya 13 kwa ubora duniani huku Tanzania kidunia inashika nafasi ya...

YANGA WAANZA VISIGIZIO MAPEMA

0
Klabu ya Young Africans haijafanya mazoezi yake tangu ilipofika nchini Algeria baada ya vifaa vyao kubaki kwenye ndege waliyokuwa wanasafiria. Mjumbe wa kamati Alex Ngai...

KISA SAKHO SIMBA WAFUNGIWA KUSAJILI…… ISHU NZIMA IKO HIVI

0
Klabu ya Simba SC, imefungiwa kusajili mpaka itakapomlipa madai ya klabu ya Teungueth ya Senegal kuhusu mcheza Pape Ousmane Sakho. Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho...

ASEC WATUA NCHINI KUWAKABILI SIMBA

0
Kikosi cha klabu ya ASEC Mimosas kimeshawasili nchini Tanzania tayari kwa maandalizi ya Mchezo wao dhidi ya wenyeji Simba SC utakaofanyia katika Uwanja wa...

HUO MKWARA WA SIMBA KWA ASEC SIO POA

0
Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa kazi yao kubwa ni kupata ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya...

TAIFA STARS SASA HAKUNA KUMTAFUTA MCHAWI NANI MAANA JAMBO LIPO HIVI

0
Matuamini ya mashabiki wa Tanzania ni kuona kwamba wachezaji wanapata matokeo mazuri. Ipo hivyo hata wapambanaji wenyewe wanapoingia kwenye mapambano malengo ni kushinda. Mwisho matokeo...

KOCHA DODOMA JIJI ATIMKIA UARABUNI KISA KAMILI HIKI HAPA

0
Makubaliano ya Pande zote mbili yamefikiwa baina ya kocha Mellis Medo na Uongozi wa klab ya Dodoma Jiji juu ya kuachana. Taarifa za kuaminika zimethibitisha...

SIMBA YAIBIPU YANGA KWA MAXI

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

HUU HAPA UZI MPYA WA SIMBA KIMATAIFA

0
Wekundu wa Msimbazi Simba SC, leo Novemba 22, 2023 wametambulisha jezi mpya ambazo watazitumia kwenye mechi za Kimataifa. Kwa mujibu wa mitandao yao ya kijamii,...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS