Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

AZIZI KI ATOA AHADI YA KIBABE YANGA

0
Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki, amesema licha ya kuwa kinara wa magoli katika Ligi Kuu ya NBC msimu huu, lakini...

HII NDIO FURAHI DAY SASA SINGIDA FG vs YANGA

0
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe, amesema mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate utakaochezwa Uwanja...

ROBERTINHO AFURAHISHWA NA MASTAA HAWA MECHI YA JANA

0
Kocha wa Simba Oliveira Robertinho amefurahishwa na namna ambavyo wachezaji wake walipambana jana licha ya kuondolewa kwenye michuano. Simba jana ilikuwa mgeni wa Al Ahly...

YANGA YATUMA SALAMU ZA POLE KWA SIMBA DHIDI YA AL AHLY

0
Timu ya Yanga SC imempa pole mtani wake wake wa jadi Simba SC baada ya kutolewa na Al Ahly ya nchini #Misri kwenye mashindano...

KANOUTE ATAMBA AFL AWEKA REKODI HII MPAKA SASA

0
Mshambuliaji wa klabu ya Simba Kibu Denis Prosper ndiye mchezaji pekee raia wa Tanzania aliyefunga goli kwenye michuano ya African Football League hadi hivi...

HIKI HAPA NDIO KILICHOMPONZA ROBERTINHO MBELE YA AL AHLY

0
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka East Africa Radio, Samwel Rashid mwenyewe anajiita Wakanda Republic amesema kuwa kilichomgharimu Kocha wa Klabu ya Simba,...

GAMONDI AWEKA WAZI SIRI YA YANGA KUPATA MATOKEO MAZURI MARA KWA...

0
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi ameeleza kuwa timu yake inapata ushindi mkubwa na kwenye mechi ngumu kwa sababu wachezaji na timu yake wanacheza kibingwa. Gamondi...

AZIZ KI ATHIBITISHA KUWA YEYE NI MASTER

0
Wakati Yanga wakiendelea kushangilia ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya waoka Mikate wa Azam FC. Kuna mtu mmoja kutoka Taifa la Burkinafaso aliliona hilo akaamua...

SIRI YA MAKALI YA AZIZI KI

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

SIMBA WAIFANANISHA AL AHLY NA ZAMALEK

0
Uongozi wa Klabu ya Simba imesema kuwa unatambua mchezo wao wa nusu fainali ya African Football League dhidi ya Al Ahly ni mgumu ndani...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS