JEMBE ANAAMINI KWAMBA KUTOBOA KWA SAMATTA KUMEFUNGUA NJIA KWA WAZAWA WENGINE KUTAKA KUTOKA NJE

0

KUTOKANA na wachezaji wengi wazawa kupata nafasi ya kucheza nje ya nchi jambo hilo linatoa mwanga kwa wengine kuhitaji kupata nafasi ya kwenda kukipiga pia huko.Saleh Jembe anasema:"Kidogo wachezaji wa Tanzania, wanaanza kuelewa nini maana ya kucheza nje ya Tanzania, wachezaji wanaanza kupata ari mpya ya kufikiria kucheza nje ya Tanzania."Yale mawazo ya kucheza kwenye klabu hizi mbili za...

CORONA YAMFANYA MORIS KUMKUBUKA KOCHA

0

BEKI wa Azam FC, Agrey Moris amesema mazoezi ya kufanya kila mchezaji kivyake si mazuri kuliko yale ya kitimu.Moris amesema kipindi hiki wachezaji wanafanya mazoezi yao binafsi wanakuwa na wakati mgumu kwani wachezaji walio wengi hawajazoea hali hiyo hivyo ni changamoto kubwa kwao ingawa amesisitiza kuwa wanajitahidi kukubaliana na hali hiyo."Huu ni ukweli usiopingika kwani mchezaji anapokuwa na wenzake...

DAVIES ATAJA SABABU YA KUENDELEA KUBAKI BAYERN MUNICH

0

ALPHONSO Davies beki wa kushoto wa Klabu ya Bayern Munich ameongeza kandarasi ya kuitumikia timu hiyo mpaka 2025.Nyota huyo mwenye uwezo wa kucheza pia kama winga amesema kuwa anafurahia maisha ndani ya klbu hiyo jambo ambalo limemfanya akubali kuongeza kandarasi hiyo.Ana umri wa miaka 19 na jezi yake uwanjani pia ni namba 19 anakipiga pia ndani ya timu yake...

SITA WATUSUA KWENYE SHINDANO LA CHOMOKA NA GARI JIPYA, WAOGELEA MINOTI

0

DROO ya pili ya bahati nasibu ya Jishindie Gari na Championi na Spoti Xtra (maarufu kama promosheni ya Baba Lao ama Chomoka na Gari Mpya Toyota Fun Cargo) ilifanyika leo Jumanne, Aprili 21, 2020 katika ofisi za Global Group na kufanikiwa kupata washindi sita.Hii inakuwa ni idadi kubwa ya washindi ukilinganisha na ile droo ya kwanza ambayo ilitoa washindi...

NI NYONI NA YONDANI TU..ISHU NZIMA IPO HIVI..!!

0

SHUGHULI ambayo alikuwa akiipata Mzimbabwe Tafadwa Kutinyu kutoka kwa mabeki Kelvin Yondani wa Yanga na Erasto Nyoni wa Simba ilikuwa ikimfanya kutumia dawa za kupoza maumivu staa huyo wa zamani wa Singida United na Azam.Kutinyu ambaye kwasasa yupo Guinea katika klabu ya Horoya alisema Yondani na Erasto ni mabeki ambao walikuwa wakimsumbua huku muda mwingine wakimwachia majeraha.Alisema mbali na...

NAHODHA YANGA APANIA KUWA BORA ZAIDI MAISHA YAKIREJEA KAMA ZAMANI

0

PAPY Tshishimbi, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Yanga amesema kuwa anaendelea kufanya mazoezi ili kulinda kipaji chake pamoja na kuchukau tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa imesimama kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo wachezaji wapo nyumbani wakiendelea kufanya mazoezi binafsi.Tshishimbi ambaye ni nahodha amesema:"Naendelea kujiimarisha kipindi hiki cha Corona lengo langu...

TEGETE AWAOMBA WATANZANIA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI

0

JERSON Tegete nyota wa zamani wa Yanga anayekipiga ndani ya Klabu ya Alliance amesema kuwa ni muhimu kwa kila mmoja kuchukua tahadhari dhidi ya virusi vya Corona ili awe salama.Alliance yenye maskani yake mkoani Mwanza ipo nafasi ya 18 kwenye msimamo imecheza mechi 29 kibindoni imekusanya pointi 29.Tegete amesema:"Ikiwa hauna shughuli ya lazima ya kufanya ikiwa ni kusafiri ni...

UWEZO WA KAPOMBE WAMVUTIA BEKI HUYU ANAYEKIPIGA KCB, ATAKA KUJA SIMBA

0

SIMBA ishindwe yenyewe kwa beki wa kati wa timu ya taifa ya Kenya na Klabu ya KCB ya nchini humo, Michael Kibwage ambaye amesema anatamani kucheza pamoja na beki Shomari Kapombe huku akisema yupo tayari kujiunga nayo msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.Simba ipo kwenye mipango ya kuifumua safu ya ulinzi ya timu hiyo kwa kusajili mabeki wa kati wenye viwango...

TSHISHMIBI NA FEI TOTO WAMVUTA NDANI YA YANGA KIUNGO MKALI WA KENYA

0

YIDAH Sven, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Kariobang Sharks ya Kenya amesema kuwa anavutiwa na uwezo wa kiungo Papy Tshishimbi na Fei Toto ambao wanakipiga Yanga jambo ambalo litampendeza akiungana nao.Sven alipata nafasi ya kucheza na wachezaji hao kwenye mchezo wa siku ya Wanachi Uwanja wa Taifa ambapo ulikamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1.Kwa sasa inaelezwa kuwa...

BOGA AYAKUMBUKA MAISHA YA CHELSEA

0

KIUNGO Jeremie Boga nyota wa Klabu ya Sassuolo amefunguka kwa sasa klabu yake bora ni hapo aliposasa, ila hawezi kuisahau klabu ya Chelsea siku zote.Boga mwenye miaka 23 ni raia wa Ufaransa ambaye anavaa jezi namba 7 mgongoni.Hata hivyo, Chelsea wanauwezo wa kumnunua tena Boga kwa euro milioni 15, kutokana na makubaliano ingawa Boga mwenyewe amesema kwa sasa maisha...