KOCHA MKUU WA SIMBA ATOA NENO LAKE KWA MSHAMBULIAJI NAMBA MOJA BONGO

0

SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba, amesema amekuwa akishangazwa na uwezo wa mshambuliaji wake, Meddie Kagere ndani ya uwanja kutokana na kufanya kazi bila kuchoka. Kagere raia wa Rwanda, ni namba moja kwa utupiaji kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu akiwa ametupia mabao 19 na ametoa asisti tano. Sven raia wa Ubelgiji, amesema kuwa alianza kumtumia Kagere kwenye mechi yake ya...

MPANGO MKUBWA WA KUMALIZA LIGI KUU ENGLAND NI KESHO

0

KUTOKANA na kusimamishwa kwa ligi mbalimbali duniani kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona, viongozi wa timu zinazoshiriki Ligi Kuu England wanatarajiwa kufanya kikao kesho kujadili hatma ya Ligi hiyo.Mpango mkubwa uliopo kwa timu hizo ndani ya msimu wa 2019-20 ni kuona kwamba wanamaliza msimu ifikapo 30,Juni 2020.Mbali na ishu ya kumaliza msimu pia kuna suala la kujadili kuhusu mikataba...

NYOTA HAWA WAZAWA WATANO MUDA WOWTE MAMBO FRESH YANGA, RIPOTI INAELEZA

0

RIPOTI ya Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael iliyotoa mezani inaelezwa kuwa anahitaji nyota wawili wazawa ambao watajiunga na Yanga msimu ujao ili kuongeza makali ya sau ya ushambuliaji.Kwa sasa wakati Ligi Kuu Bara ikiwa imesimamishwa na Serikali kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona, safu ya ushambuliaji ya Yanga ilikuwa imetupia mabao 31 baada ya kucheza mechi 27.Habari zinaeleza...

SIMBA YATAJA SABABU ZA KUILINDA SAINI YA CHAMA, ISHU IPO TFF KWA SASA

0

UONGOZI wa Simba umesema kuwa miongoni mwa sababu kubwa zinazowafanya wailinde saini ya nyota wao Clatous Chama ni pamoja na kuthamini mchango wake alioufanya ndani ya Klabu ya Simba.Chama amewaweka kwenye mvutano mkubwa Simba na watani zao wa jadi Yanga kutokana na kile ambacho Yanga walieleza kuwa walikuwa na mazungumzo naye ili kuipata saini yake.Ofisa Habari wa Simba, Haji...

UKIACHANA NA CHAMA, HUYU HAPA MWINGINE KUCHOMOLEWA SIMBA

0

IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga hesabu zao ni kuibomoa Simba na kuchokomoka na nyota mmoja ambaye amekuwa kwenye ubora wake licha ya kutokuwa na nafasi kikosi cha kwanza kutokana na kusumbuliwa na majeruhi.Kwa sasa mvutano mkubwa ni kati ya Simba na nyota wao Clatous Chama ambaye inaelezwa kuwa Yanga wamemvutia kasi jambo lililowafanya Simba kupeleka malalamiko Shirikisho la Soka...

SIMON MSUVA ATAMANI KURUDI BONGO ILA AMEKWAMIA HAPA

0
Habari za Michezo leo

SIMON Msuva nyota wa Timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga El Jadid ya nchini Morocco amesema kuwa kwa sasa anatamani kurudi nyumbani Tanzania ila amekwama kutokana na mipaka kufungwa.Msuva anakipiga soka la kulipwa akiwa pamoja na mzawa mwingine Kibabage zao la Mtibwa Sugar ambaye wamekuwa wakifanya naye mazoezi nyumbani.Wakati huu wa kujilinda na maambukizi dhidi ya Virusi vya Corona,...

MBELGIJI WA YANGA KULA SAHANI MOJA NA NYOTA WANNE, UONGOZI WA YANGA WATAJA MBINU INAYOTUMIKA

0

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa amekuwa akiwafuatilia kwa ukaribu nyota wake wote huku presha yake ikiwa kwa nyota wanne ambao ni mfano kwake.Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo wachezaji wamekuwa wakifanya mazoezi binafsi wakiwa nyumbani.Eymael kwa sasa yupo nchini Ubelgiji amekwama kurejea Bongo kutokana na mipaka kufungwa kuzuia maambukizi...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI LIPO MTAANI JIPATIE NAKALA YAKO USHINDE NDINGA MPYA

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi lipo mtaani jipatie nakala yako kwa Jerome, nafasi ya kushinda ndinga ni yako 

AZAM FC YAJITOSA KUWANIA KIFAA CHA CONGO KINACHOTAKIWA SIMBA NA YANGA

0

UKISIKIA kununua ugomvi ndiko huku sasa. Matajiri wa soka nchini, Azam FC wamejitosa katika vita vya vigogo Simba na Yanga kuwania saini ya straika Mkongomani, Mpiana Mozizi anayekipiga FC Lupopo ya DR Congo.Mozizi alianza kusakwa na Simba kabla ya Yanga nao kujitosa kama tulivyowapasha juzi Jumamosi, lakini Azam nao wamejitosa kutaka kumsainisha mkali huyo mwenye mabao 11.Ipo hivi. Awali,...

SIMBA YA SENZO IKO ‘NEXT LEVEL’ AISEE …WACHEZAJI KUFANYA MAZOEZI KWA VIDEO CALL

0

NI mwendo wa teknolojia tu sasa hivi, hili ndio linalofanyika kwenye taasisi mbalimbali kwa nchini kutokana na kuwepo ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.Teknolojia sasa inaweza kuwa miongoni mwa vitu vinavyopunguza mikusanyiko ya watu ambayo imepigwa marufuku.Katika kikosi cha Simba wachezaji wa timu hiyo wamepewa ratiba ya kufanya mazoezi nyumbani au mahala ambapo hakuna mikusanyiko ya watu...