NDAYIRAGIJE WA KMC AMPOTEZA MBELGIJI WA SIMBA

0

KOCHA Mkuu wa KMC, Ettiene Ndayiragije amebeba tuzo ya kocha bora wa Ligi Kuu Bara  kwa mwezi Mei.Ndayiragije ameongoza kikosi chake cha KMC kumaliza ligi kikiwa ndani ya nne bora baada ya kucheza michezo 38 licha ya kupanda ligi msimu wa mwaka 2018/19.Kocha huyo amewashinda makocha wawili ambao ni Patrick Aussems wa Simba na Malale Hamsini kocha wa Alliance...

HAWA HAPA 11 WANATAJWA KUVAA JEZI YA SIMBA MSIMU UJAO

0

IMEELEZWA kuwa kikosi cha Simba kinafanya kazi ya usajili kimyakimya ambapo mpaka sasa hakijatangaza mchezaji hata mmoja ambaye amesajiliwa hata kwa mkataba wa awali.Habari zimeeleza kuwa mpaka sasa Simba wanapitia ripoti iliyoachwa mezani na kocha mkuu, Patrick Aussems ambaye yupo likizo nchini Ubelgiji kwa sasa.Hii hapa ni orodha ya baadhi ya wachezaji ambao inasemekana wanahitajika ndani ya kikosi hicho...

BARCELONA KUIPASUA MANCHESTER UNITED WAKIIKOSA SAINI YA GRIEZMANN

0

IMEELEZWA kuwa, Marcus Rashford atakuwa mbadala ndani ya kikosi cha Barcelona iwapo watafeli kuipata saini ya Antoine Griezmann ama Neymar Jr.Barcelona kwa sasa wanaangalia namna ya kumpata mchezaji atakayekuwa mbadala wa mshambuliaji wa kimataifa wa timu ya Taifa ya Uruguay, Luis Suarez msimu huu.Rashford kwa sasa imeelezwa kuwa hana furaha ndani ya kikosi cha Manchester United hivyo Barcelona watatumia njia hiyo...

WACCHEZAJI WA TAIFA STARS WATAOKWEA PIPA KUELEKEA MISRI HAWA HAPA

0

Kikosi cha Taida Stars kinachoondoka leo kuelekea Misri kwa ajili ya michuano ya AFCON 2019Kikosi cha Taifa Stars kinachoondoka kinaundwa na makipa; Aishi Manula (Simba SC), Metacha Mnata (Mbao FC), Suleiman Salula (Malindi SC) na Aaron Lulambo (Tanzania Prisons).Mabeki; Claryo Boniface (U20), Hassan Kessy (Nkana FC, Zambia), Vincent Philipo (Mbao FC), Shomari Kapombe, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Erasto Nyoni (Simba...

YANGA WAIPIGIA HESABU CECAFA

0

Wakati Simba wakiyatosa mashindano hayo, uongozi wa Yanga umethibitisha kupokea barua ya mwaliko wa kushiriki michuano hiyo mikubwa kwa ngazi ya vilabu katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kutoka CECAFA.Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Omar Kaya amesema bado wanatafakari na kufanya tathmini kuona ni faida gani watazipata kabla ya kutoa jibu la mwisho. .Mabingwa watetezi wa michuano hiyo...

NYOTA HAWA SABA WAPIGWA CHINI TIMU YA TAIFA YA TANZANIA

0

TIMU ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inatarajiwa kuanza safari leo kuelekea nchini Misri ambako itaweka kambi kwa ajili ya michuano ya Afcon ambayo inatarajiwa kuanza Juni 21.Wachezaji saba wameachwa na kocha wa kikosi hicho Emmanuel Ammunike na ataondka na nyota 32 kuiwakilisha nchi huku akieleza kuwa anawaacha nyota hao kutokana na uwezo wao wa kufanya mazoezi, nidhamu mbali...

KOCHA WA KMC ANASUBIRI MASAA TU KWA SASA KUTIMKIA AZAM FC

0

IMEELEZWA kuwa tayari uongozi wa Azam FC umefikia hatua nzuri ya mazungumzo na kocha wa KMC, Etienne Ndayiragije kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho hivyo anahesabiwa masaa tu kutambulishwa.Ndayiragije ambaye alijiunga na KMC msimu wa mwaka 2018/19 kwa kandarasi ya mwaka mmoja akitokea Mbao imeelezwa amegomea kuongeza mkataba mpya ndani ya KMC.Akiwa na KMC, ameweza kuonyesha ushindani na kufanya kikosi chake...

RASMI SIMBA YAJIONDOA MICHUANO YA KAGAME

0

Mabingwa wa Tanzania Bara, Simba SC wamejitoa kwenye michuano ya Kombe la Kagame iliyopangwa kuanza kutimua vumbi Julai mwaka huu nchini Rwanda. Akizungumza na Saleh Jembe Mtendaji Mkuu wa Simba Crescentius Magori amesema ni kweli wameamua kujitoa kwenye michuano hiyo huku kutokana na kubwana na ratiba."Muda wa maandalizi ya msimu ujao ni finyu kwani kuna baadhi ya wachezaji wako kwenye...

BEKI WA ZAHERA YANGA MGUU NJE MGUU NDANI

0

BEKI wa Yanga, Paul Godfery 'Boxer' kipenzi cha Mwinyi Zahera kwa sasa haelewi chochote kinachoendelea juu yake msimu ujao kutokana na kutopewa taarifa zozote ndani ya klabu hiyo.Boxer msimu uliopita alionyesha uwezo mkubwa kwenye mechi zake alizocheza ambapo alikuwa mhimili kwa upande wa mabeki wa Yanga licha ya kupandishwa kutoka timu ya vijana.Akizungumza na Championi Ijumaa, Boxer alisema kuwa...