MUONEKANO WA UZI MPYA WA SIMBA MSIMU WA 2019/20
Jezi za msimu mpya wa 2019/2020 kwa klabu ya Simba. Uzi wa nyumbaniUzi mpya Uzi wa Nyumbani
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
HUU HAPA UZI WA POLISI TANZANIA MSIMU UJAO
KAZI imeanza, timu ya Polisi Tanzania imetambulisha uzi mpya ambao utatumika msimu ujao kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara.Polisi Tanzania ipo chini ya Kocha, Seleman Matola na ni miongoni mwa timu ambazo zitashriki Ligi Kuu Bara msimu ujao. Ofisa Habari wa Polisi Tanzania, Frank Lukwaro amesema kuwa watatumia rangi ya Blue wakiwa nyumbani na watatumia rangi nyeupe wakiwa ugenini kwa msimu...
KOCHA: STARS ILIISHIWA MBINU MWANZO, WANA KAZI YA KUFANYA NCHINI KENYA
SAID Maulid, Kocha wa timu ya Vijana chini ya miaka 20 wa Yanga, amesema kuwa tatizo kubwa la wachezaji wa timu ya Taifa wanashindwa kutumia mbinu ya ziada pale mpango wa mwalimu unapofeli.Maulid amesema kuwa uwezo wa kushinda mbele ya timu ya Kenya ulikuwa mikononi mwa wachezaji wenyewe jambo waliloshindwa na kuongeza ugumu wa kupata matokeo."Wachezaji walikuwa wameshindwa kutumia...
AZAM FC KUTESTI MITAMBO YAO LEO TENA MBELE YA POLISI TANZANIA
AZAM FC, leo itacheza mchezo wa kirafiki na timu ya Polisi Tanzania uwanja wa Azam Complex majira ya saa 1:00 usiku.Mchezo huu ni maalumu kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kimataifa wa kombe a Shirikisho dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia unaotarajiwa kuchezwa Agosti 10 nchini Ethiopia.Huu unakuwa ni mchezo wa pili wa kirafiki kwa mabingwa hao wa...
RASMI YANGA YAMALIZANA NA MSHAMBULIAJI MWILI JUMBA, ASAINI MWAKA MMOJA
DAVID Molinga amejiunga na Yanga kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea AC Lega ya Congo.Nyota huyu ambaye ni mshambuliaji ni pendekezo la Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera ambaye alisema kuwa anakuja kurithi nafasi ya Heritier Makambo aliyetimkia Horoya AC.Huu unakuwa ni usajili wa usiku kwa Yanga kwani mchezaji huyu alishuka usiku wa kuamkia leo na usajili pia unafungwa leo Julai...
SIMBA YAMWAGIWA MAMILIONI, SASA KUTOTUMIA HATA SHILINGI YA MFUKONI
CRESCENTIUS Magori, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa mwaka huu Simba hawatatoa hata shilingi mfukoni kununua vifaa vya mpira kutokana na dili nono walilosaini na kampuni ya UHL Sport.Magori amesema:-"Kampuni ya UHL Sport Dubai imeshinda tenda ya kutengeneza jezi ya klabu ya Simba kwa msimu wa miaka miwili."Ni mkataba mrefu na wenye faida kuliko mkataba wowote ambao...
MUSSA MBISSE MLINDA MLANGO ALIYEKUWA NA MALENGO YA KUWA PADRI KWA SASA YUPO MWADUI
MUSSA Mbisse mlinda mlango wa Mwadui FC awali hakuwa na mpango wa kuwa mchezaji bali ndoto zake ilikuwa aje kuwa mtumishi wa Bwana.Maono yake makubwa alikuwa anataka kuja kuwa padre lakini ghafla amejikuta yupo kwenye mpira.Huyu hapa anafunguka mengi alizungumza na Saleh Jembe:- "Soka nilianza mwaka 2017, nilikuwa nataka kuwa padre mambo yakaingiliana nikaenda kusoma masuala ya afya kwenye chuo...
MCHAKAMCHAKA WA AZAM FC KIMATAIFA NI MOTO
KIKOSI cha Azam FC kinaedelea na mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kuelekea kwenye mchezo wao kimataifa wa kombe la Shirikisho dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia.Azam FC ambao ni mabingwa wa kombe la Shirikisho, watamenyana na Fasil Kenema, Agosti 10 ikiwa ni mchezo wa awali kabla ya kurudiana nao uwanja wa Chamazi, Dar.Ofisa Habari wa Azam FC, Japhary...
LUKAKU AKISEPA TU UNITED HAWA HAPA KUVAA VIATU VYAKE
OLE Gunnar Solskjaer, Meneja wa Manchester United hana shaka endapo dili la Romelu Lukaku kujiunga na Juventus litatimia kwa ajili ya msimu ujao.Meneja huyo anajivunia uwepo wa nyota kama Marcus Rashford, Anthony Martial na kinda Mason Greenwood ambao anaamini ni mbadala sahihi wa Lukaku.Pia anamtaka Dybala ndani ya kikosi chake kwa kuwa anaamini ana aina ya mtindo anaoupenda.Maurizio Sarri,...