TFF YATAJA KILICHOINYIMA USHINDI STARS MBELE YA KENYA
WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itakwenda kufanya vema nchini Kenya kwenye mchezo wa marudio.Stras ililazimisha sare ya bila kufungana na Kenya Uwanja wa Taifa, inakwenda kurudiana na Kenya Agosti 4 na kinachotakiwa ni ushindi ili kufuzu michuano ya Chan.Kidao amesema:- "Mchezo wa kwanza tulikuwa na...
YANGA AMUENI, KINDOKI ANASTAHILI AONDOKE, SHIKALO NA WATANZANIA ITAWEZEKANA
Na Saleh AllyYANGA imeanza maandalizi ya msimu mpya ikijiandaa katika kambi yake ambayo iko mjini Morogoro kwa siku kadhaa sasa.Kambi hiyo imekuwa ikiendelea vizuri kutokana na kwamba pamoja na mazoezi lakini Yanga imekuwa ikicheza mechi kadhaa za kirafiki kujipima.Kitu kikubwa ambacho wanatakiwa kuongeza Yanga ni mechi ngumu zaidi kwa ajili ya kuendelea kukiinua na kukichambua kikosi chake kwa kuwa...
MAYANJA: TUPO TAYARI KIMATAIFA
JACKSON Mayanja, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa kwa sasa ni wakati wa kukijenga kikosi kwa ajili ya mchezo wao wa kimataifa dhidi ya AS Kigali. KMC itamenyana na AS Kigali kati ya Agosti 10 ikiwa ni mchezo wa kombe la Shirikisho na kwa sasa wanaendelea na mazoezi uwanja wa Bora.Mayanja amesema:-"Kazi kubwa ni kuaandaa kikosi kwa ajili ya...
MJI KASORO BAHARI WAIBUKA NA KUCHOTA MAMILIONI YA SPORTPESA, NI BAADA YA ARUSHA KUTAMBA SANA
Mkazi wa Kilombero, Morogoro, Bw. Patrick Fidelis Ndwanga akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 6,835,260 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya wiki iliyopita ya SportPesa. Kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji SportPesa Tanzania Bw. Luca Neghesti
ILE ISHU KWAMBA EMMANUEL OKWI ANAREJEA SIMBA, IKIWEZEKANA MCHONGO UKO HIVI….
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi ambaye hivi karibuni alitangaza kuachana na klabu hiyo, kuna uwezekano mkubwa akarejea tena kikosini hapo kuendelea kuitumikia timu hiyo.Ikumbukwe kuwa, hivi karibuni Okwi aligoma kuongeza mkataba wa kuitumikia Simba baada ya kushindwana katika suala zima na fedha na hivi karibuni ikaripotiwa kuwa amejiunga na timu ya Fujairah FC ya Falme za...
DK MSOLLA “AITUMBUA” KAMATI YANGA, AUNDA KAMATI MPYA YA MASHINDA, MAJINA HAYA HAPA…
Klabu ya Yanga imefanya mabadiliko na kutangaza kamati mpya ya mashindano ya klabu hiyo.Kamati hiyo itafanya kazi za usimamizi wa mashindano ambayo kikosi cha Yanga kinashiriki msimu ujao.Imekuwa ni siku chache uongozi wa kalbu hiyo kuzitenganisha kamati mbili zilizokuwa zinafanyakazi pamoja ya usajili na mashindano iliyokuwa chini ya mwenyekiti wake, Franky Kamugisha.Walioteuliwa katika kamati hiyo ni Mwenyekiti, Rodgers Gambo...
YANGA YATOA TAMKO KUHUSU DANTE, JUMA ABUDL
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ni busara kwa uongozi wa Yanga kumalizana na wachezaji wake wote wa zamani wanaowadai kabla ya kumalizana na wachezaji wapya. Inaelezwa kuwa Yanga imewasimamisha wachezaji wake watatu ambao wanawadai stahki zao ambao ni Juma Abdul, Andrew Vincent 'Dante' na Kelvin Yondani.Zahera amesema:"Wachezaji wote waliongea na mimi ikiwa ni pamoja na Abdul...
KOCHA TANZANITE: TUNAKWENDA KUPEPERUSHA BENDERA YA TAIFA AFRIKA KUSINI
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' amesema kuwa wanakwenda kuperusha vema Bendera ya Taifa.Tanzanite wanaondoka leo kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya michuano ya COSOFA inayotarajiwa kuanza Agosti mosi mpaka 11 baada ya kualikwa na wameondoka na wachezaji 20 pamoa na viongozi wengine.Shime amesema:-" Tumekuwa kambini kwa muda wa...
MANCHESTER UNITED KUMKOSA BAILLY KWA MUDA WA MIEZI MITANO
OLE Gunnars Solskajer, Meneja wa Manchester United amethibitisha kuwa beki wake kisiki Erick Bailly atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi minne mpaka mitano.Bailly alipata majeraha hayo kwenye mchezo wa kirafiki wa michuano ya ICC dhidi ya Totthenham wiki iliyopita wakati United ikishinda kwa mabao 2-1.Nyota huyo mwenye miaka 25 atakuwa chini ya uangalizi wa madaktari mpaka pale...
KAMBI YA SIMBA YAVUNJWA AFRIKA KUSINI
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa kambi ya nchini Afrika Kusini imekuwa na mafanikio makubwa kwa sasa ni muda wa kuondoka Afrika Kusini.Simba iliweka kambi nchini Afrika Kusini kwa muda wa wiki mbili ikiwa ni maalumu kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao leo wanarejea nyumbani baada ya kuivunja kambi.Aussems amesema:- "Kwa sasa ni muda wa kuondoka...