HIMID MAO ACHEKELEA CHANGAMOTO MPYA NDANI YA MISRI

0

HIMID Mao amesema kuwa ana furaha kwa sasa kuanza changamoto mpya ndani ya kikosi cha ENNPI kwa kandarasi ya miaka miwili.Mao ambaye ni nahodha msaidizi wa kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania amesaini kandarasi hiyo akitokea klabu ya Petro Jet FC ya nchini Misri na kandarasi yake hiyo mpya ina kipengele cha kuongeza mkataba mpya.Ndani ya Petrojet FC...

SIMBA: TUMEFUNGA HESABU KISHUJAA AFRIKA KUSINI

0

PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa uwezo wa wachezaji wake umeimarika hivyo ana imani kubwa watakuwa na kitu cha kipekee msimu ujao.Simba jana ilifunga hesabu nchini Afrika Kusini kwa kutoka sare ya kufungana bao 1-1 na Orlando Pirates mchezo wa kirafiki uliochezwa Afrika Kusini.Aussemss amesema:-"Tumemaliza kambi na Orlando Pirates ambao wapo tayari kuliko sisi wao wametumia muda...

HUYU NDIYE MWILI JUMBA ALIYESHUSHWA NA YANGA KUCHUKUA NAFASI YA MAKAMBO

0

USIKU wa kuamkia leo klabu ya Yanga imeshusha mashine mpya kwa ajili ya kukamilisha usajili wake wa mwisho kabla ya dirisha la usajili halijafungwa leo.Mchezaji huyo ambaye ni mwili jumba inaelezwa kuwa amekuja kuchukua nafasi ya mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Heritier Makambo ambaye amejiunga na Horoya AC.Mwinyi Zahera alisema kuwa nafasi iliyobaki ndani ya kikosi hicho ni ya...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la CHAMPIONI Jumatano

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano

KOCHA STARS:TUNAKWENDA KUPINDUA MEZA KIBABE KENYA

0

ETTIENE Ndayiragije Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' amesema kuwa sare waliyoipata sio mbaya wanakwenda kupindua meza nchini Kenya.Stras ililazimisha sare ya bila kufungana na timu ya Taifa ya Kenya kwenye mchezo wa kwanza wa kutafuta tiketi ya kushiriki michuano ya Chan uliochezwa uwanja wa Taifa.Ndayiragije amesema:"Perfomance yetu ilikuwa nzuri licha ya kushindwa kupata...

YANGA: KWA KIKOSI HIKI, MSIMU UJAO TUTAKUWA JUU ZAIDI

0

MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ameona namna wachezaji wake wanavyocheza na kujituma hivyo ana imani msimu ujao watakuwa juu zaidi ya msimu uliopita.Zahera yupo na timu mkoani Morogoro ikiwa imeweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao amesema kuwa ameridhishwa na uwezo wa wachezaji wake wote.Akizungumza na Saleh Jembe, Zahera amesema kuwa:-"Kuhusu aina ya wachezaji...

MAPILATO WA AZAM FC KIMATAIFA HAWA HAPA

0

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limechagua waamuzi kutoka nchini Sudan kuchezesha nchezo wa raundi ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Azam FC na Fasil Kenema ya Ethiopia.Mchezo huo wa kwanza wa Azam FC unatarajiwa kuchezwa  Uwanja wa Taifa wa Bahir, Agosti 11 mwaka huu mjini Bahir, Ethiopia majira ya saa 10.00 jioni.Mwamuzi wa kati wa mchezo...

FRIENDS RANGERS YAKUBALI MUZIKI WA YANGA, SIBOMANA APEWA SALUTI

0

ELLY Mzozo, Kocha Mkuu wa kikosi cha Friends Ranger ya Morogoro amesema kuwa wachezaji wa Yanga wana ukomavu mkubwa na msimu ujao wataleta ushindani.Friends Ranger leo imepoteza mchezo wa kirafiki mbele ya Yanga kwa kufungwa mabao 2-0 mchezo uliochezwa uwanja wa Highland Park Moro.Akizungumza na Saleh Jembe, Mzozo amesema kuwa kikosi cha Yanga kimeonyesha ushindani mkubwa na ukomavu wa...

AZAM FC KAMILI GADO KUWAVAA WAETHIOPIA KIMATAIFA

0

KIKOSI cha Azam FC kimeendelea na maandalizi ya kukata na shoka kwa ajili ya michuano ya kimataifa pamoja na Ligi Kuu Bara.Azam FC ambao ni mabigwa wa Kombe la Shirikisho watapeperusha Bendera ya Taifa kwa kushirki michuano ya Kombe la Shirikisho.Mchezo wao wa kwanza kimataifa unatarajiwa kuchezwa kati ya Agosti 10 nchini Ethiopia dhidi ya wapinzani wao Fasil Kenema.Ofisa...