AZAM FC LEO KUTESTI MITAMBO NA MASHINE HIZI MPYA KALI KINOMA
KIKOSI cha Azam FC leo kitajaribu mitambo yake mipya mbele ya kikosi cha Polisi Tanzania kwenye mchezo wa kirafiki.Mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani wa kipekee utapigwa majira ya saa 1:00 usikuwa uwanja wa Chamazi.Azam FC itatumia mchezo wake huo kuandaa majembe yake kwa ajili ya mchezo wake wa kimataifa dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia huku Polisi...
MFUMO MPYA WA SIMBA SASA KIBOKO,PUNGUZO KWA TIKETI MPAKA ASILIMIA KUMI
erifiedSIMBA leo wametangaza kuingia mkataba mwingine na benki ya Equity ambao una malengo ya kusimamamia mradi wa kadi mpya za za wanachama na mashabiki zitakazoitwa Simba Card.Kupitia ukurasa wa Instagram wameandika namna hii:-"Tumeingia mkataba na benki ya Equity ambao utawezesha benki hiyo kusimamia mradi wa kadi mpya za wanachama na mashabiki ambazo zitaitwa Simba Card."Kadi hizo zitatumiwa na wanachama...
TANZANITE: KESHO TUNAFANYA KWELI MBELE YA BOTSWANA
BAKARI Shime 'Mchawi Mweusi' Kocha Mkuu wa kikosi cha Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' amesema kuwa kesho watafanya kweli.Tanzanite kwa sasa ipo nchini Afrika Kusini kwa ajili ya michuano ya COSAFA ambayo imeanza kutimua vumbi leo."Kila kitu kinakwenda sawa na wachezaji wamepewa majukumu kwa ajili ya mashindano haya ambayo tumealikwa hivyo ni muda wa...
YANGA HAWAPOI WAJIBU DONGO LA SIMBA KWA VITENDO, CHEKI JIBU LAO LAZIMA UKAE
KUTOKANA na ile kauli ya Uongozi wa Simba kuamua kutumia kauli mbiu ya 'Iga Ufe' kuelekea kwenye tamasha lao la SportPesa Simba Wiki litakalofanyika Agosti 6 uwanja wa Taifa, huku ikiaminiwa kuwa ni dongo kwa Yanga kiana Yanga nao hawana dogo wao wamekuja na majibu kimyakimya.Wadau wa Yanga na mashabiki wamekuwa wakiisambaza kwa kasi picha ya tawi lao la...
PICHA YA TAWI LA SIMBA LA BANDARI KAVU-KWALA ILIYOZUA GUMZO HII HAPA
KUELEKEA SportPesa Simba wiki inayotarajiwa kufanyika Agosti 6 uwanja wa Taifa mambo yamezidi kupamba moto ambapo hamasa imekuwa ni ya juu huku matawi mengi yakipania kufanya makubwa.Tawi la Simba la Banadari Kavu-Kwala lililopo Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani limezua gumzo kutokana na aina ya ubunifu wake na mchoro wake ulivyo lipo namna hii:-
YANGA: KWA MOTO WA SIBOMANA, BALINYA LAZIMA KARIOBANG SHARK WAKAE
DEO Muta, Katibu wa Kamati ya Hamasa ndani ya Yanga amesema kuwa hakuna namna itakayowazuia wapinzani wao Kariobang Sharks Kupata ushindi mbele ya Yanga.Muta amesema kuwa Yanga imejipanga kufanya makubwa na maajabu hivyo mashabiki wajitokeze kwa wingi."Kilele cha Mwananchi ni moto wa kuotea mbali kikosi chetu ni imara na ni lazima tuwanyooshe hao Kariobang Sharks hivyo mashabiki wajitokeze kwa...
MABINGWA SIMBA WAANZA NA MKWARA HUU
BAADA ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba kurejea kutoka Afrika Kusini, Kocha Mkuu Patrick Aussems amesema kuwa kazi ndo kwanza inaanza.Simba ilikweka kambi nchini Afrika Kusini ambayo imetumia muda wa wiki mbili kwa sasa wamerejea Bongo kwa maandalizi ya msimu ujao."Tumemaliza salama kazi yetu ya kwanza ambayo ilikuwa ni maandalizi na sasa kikubwa tunaendelea vizuri hivyo kazi...
MWENDO WA YANGA KUKUSANYA KIJIJI NOMA, CHEKI VIKOSI VIWILI VILIVYOKUSANYWA,
VIKOSI vitakavyocheza mchezo wa kirafiki siku ya kilele cha Mwanachi uwanja wa Taifa, Agosti 4
NYOTA HUYU TAIFA STARS HATIHATI KUIKOSA KENYA
JUMA Mgunda, Kaimu Kocha Msaidizi wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' amesema kuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Ibrahim Ajib anasumbuliwa na majeruhi kwa sasa.Mgunda amesema kuwa kwa sasa kikosi kinafanyia kazi makosa waliyofanya awali kabla ya kurudiana na Kenya Agosti 4 nchini Kenya."Ibrahim Ajib kwa sasa yupo kwenye uangalizi wa madaktari baada ya kupata...
POLISI TANZANIA YAIPIGA MKWARA MZITO AZAM FC LEO
FRANK Lukwaro, Ofisa Habari wa Polisi Tanzania amesema kuwa kikosi kipo tayari kuwavaa Azam FC leo.Polisi Tanzania iliyo chini ya Seleman Matola leo itamenyana na Azam FC uwanja wa Chamazi majira ya saa 1:00 mchezo wa kirafiki.Akizungumza na Saleh Jembe, Lukwaro amesema wamejipanga kufanya vizuri kutokana na morali ya wachezaji wao."Tupo vema na tumejipanga ni suala la muda tu...