DUH SASA BALAA KUTUA MSIMBAZI, NYOTA WANNE KIKOSI CHA KWANZA KUTIMKA MAZIMA

0

IMEELEZWA kuwa baada ya kiungo bora ndani ya Simba,James Kotei kutimkia ndani ya kikosi cha Kaizer Chief kwa kandarasi ya miaka mitatu sasa nyota wengine watatu wanatimka ndani ya kikosi hicho.Habari za ndani zimeeleza kuwa tayari kuna timu kutoka Afrika Kusini zimetia timu bongo kufanya makubaliano na wachezaji wa Simba.Wachezaji hao wametajwa kuwa ni pamoja na beki Paul Bukaba...

MESSI ANA OFA TANO MKONONI KWA SASA

0

Ramadhani Singano ‘Messi’ kwa sasa ana ofa kutoka timu tano tofauti ambazo zinaitaka saini yake ili aweze kuzitumikia kwa sasa.Messi ni mchezaji huru baada ya kutemwa na Azam FC hali iliyotoa nafasi kwa timu hizo ambazo zinahitaji saini yake huku KMC, Polisi Tanzania na Lipuli zikitajwa kuwania saini yake.Akizungumza na Saleh Jembe, Messi amesema kuwa kwa sasa ni muda...

STARS YAENDELEA KUKALIA MKIA KUNDI C AFCON, YACHAPWA 3-2 NA KENYA

0

Kikosi cha Taifa Stars kimpoteza tena mchezo wa Kombe la Mataifa ya Afrika awamu hii dhidi ya Kenya kwa kuchapwa mabao 3-2.Kipigo hiki kimekuwa cha pili baada ya mechi ya kwanza kufungwa mabao 2-0 na Senegal.Mabao ya Kenya yamefungwa na Michael Olunga aliyeingia kambani mara mbili huku moja likiwekwa kambani na Johanna Omolo.Wakati Stars imefunga mabao yake kupitia kwa...

Simon Msuva aingia katika rekodi kuu baada ya miaka 39

0

Simon Msuva, Sai kama wanavyomuita uwanjani ameingia katika rekodi muhimu katika mchezo unaoendelea muda huu. Tarehe 27/06/2019 saa 5:06 (Dakika sita ya mchezo)  alifunga bao lake la Kwanza katika michuano hii kwa Tanzania baada ya miaka 39. Binafsi ameweka rekodi, pia kama timu pia.Bila kusahau dakika ya 40 ya mchezo huu Samatta, Mbwana aliifungia Stars bao la...

ZANA KUSAINI MIAKA MIWILI SIMBA

0

Imeelezwa kuwa beki wa klabu ya Simba, Zana Coulibaly yupo katika mazungumzo ya mwisho ya kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea klabu ya Simba.Taarifa imesema kuwa Zana anaweza akasaini mkataba wa miaka miwili tayari kuendelea kuhudumu mpaka mwaka 2021.Coulibaly alisajiliwa na Simba kwa mkataba wa miezi sita katika dirisha dogo la ligi kuu Bara December mwaka jana mkataba ambao...

VIDEO: KAKOLANYA AFUNGUKA SABABU ZA KUSAINI SIMBA, KUHUSU TAIFA STARS …….

0

Aliyekuwa Golikipa wa Yanga na ambaye kwa sasa amesaini katika klabu ya Simba Beno Kakolanya amefunguka usajili wake Simba SC na kilichofanya amesaini katika klanbu hiyo.Beno amesema kuwa Simba ni klabu Kubwa pia ina kikosi kizuri na ni timu ambayo imekubaliana nayo katika maslahi na kusaini.Kakolanya amesaini katika klabu ya Simba hivi karibuni akitokea yanga ambapo alikua aitumikii timu...

MCHEZAJI MWINGINE AONDOKA SIMBA

0

Kiungo Mnyarwanda, Haruna Niyonzima amewaaga mashabiki wa klabu ya Simba kwa muda wote waliokuwa nae akiwa na timu hiyo na sasa anaelekea klabu nyingine.Taarifa zinadai uongozi wa Simba umegoma kumuongezea mktaba mchezaji huyo baada ya kushindwa kufikia makubaliano kwa pande zote mbili kwenye baadhi ya maeneo (ikiwemo fedha) nakumruhusu akatafute maisha sehemu nyingine kamamchezaji huru.Haruna amesema muda ukifika atawajulisha...

AZAM YALETA CHANGAMOTO KWA SIMBA

0

Kocha Mkuu wa timu ya Azam, Ettiene Ndayiragije raia wa Burundi amepanga kukiboresha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara kwa kuwasajili wachezaji wapya wanne ambao wataenda kusaidiana na Obrey Chirwa.Chirwa ambaye hivi karibuni alisaini mkataba mpya wa mwaka mmoja wa kuendelea kusalia kutumikia Azam ambayo msimu ujao itashiriki Kombe la Shirikisho Afrika anatarajiwa kuonyesha uwezo wa...

KIFAA KINGINE AFCON KUSAINI YANGA

0

Jina la mshambuliaji Rashid Mandawa lipo kwenye orodha ya mastaa wanaotakiwa pale Yanga.Kama ulikuwa unajua kuwa Yanga wamemaliza kufanya usajlli wa washambuliaji basi umejidanganya kwani wapo kwenye mpango wa kumsainisha Mandawa ambaye yupo kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) inayoendeleanchini Misri.Mshambuliaji huyo ambaye anaitumikia BDF XI ya Botswana, inadaiwa yuko kwenye mipango ya Kocha Mwinyi Zahera hivyo...