ADHABU YA WARDA WA MISRI, BADO INABAKI NA UJUMBE KWETU

0

Na Saleh Ally, CairoGUMZO kubwa la hapa Misri ni kuondolewa kwa kiungo Amr Warda katika timu ya soka ya taifa ya Misri.Inakuwa vigumu kujua ukubwa wa suala hilo kwa hapa Misri kama utakuwa nje au mbali na nchi hii.Kuna makundi matatu au zaidi kuhusiana na hilo, wale wanaoamini Warda anayekipiga nchini Ugiriki ameondolewa katika timu ya taifa kwa kosa...

BREAKING; SIMBA YASAJILI WABRAZIL WATATU

0

BEKI Tairone Santos da Silva  (30) amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu ya Simba.Santos Amejiunga na Simba akitokea timu ya Atletico Cearense FC ya nchini Brazili.Huya anakuwa ni Mbrazili wa tatu kusaini ndani ya Simba baada ya kuanza na mshambuliaji Wilker Henrique da Silva, kiraka Gerson Fraga Viera na huyu wa leo Santos.

MATOLA WA POLISI TANZANIA KUIBOMOA YANGA NA LIPULI

0

BEKI wa Yanga, Haji Mwinyi, huenda akatua Polisi Tanzania iliyo chini ya Suleman Matola ambaye amesaini kandarasi ya mwaka mmoja.Mwinyi kwa sasa yupo huru kusaini na timu yoyote baada ya mkataba wake kumalizika ndani ya Yanga.Pia imeelezwa kuwa Polisi Tanzania ya Matola ina mpango wa kumsajili beki wa Lipuli, Haruna Shamte ambaye ni fundi wa kupiga mipira iliyokufa ambapo ana...

DIDA NAYE MGUU NJE NDANI SIMBA, ATAJWA KUIBUKIA NAMUNGO

0

IMEELEZWA kuwa mlinda mlango namba mbili wa Simba, Deogratius Munish 'Dida' anaweza kusepa ndani ya kikosi hicho na kutimkia Namungo FC.Habari zimeeleza kuwa kwa sasa, Dida anamalizia mkataba wake wa mwaka mmoja ndani ya Simba hivyo kusajiliwa kwa Beno Kakolanya kunampoteza ndani ya kikosi hicho.Kakolanya amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Simba akiwa ni mchezaji huru baada ya...

MAURIZIO SARRI KIBOKO KWA SIKU ANAVUTA ‘MISIGARA’ KIBAO

0

MENEJA wa Juventus, Maurizio Sarri amesema kuwa huwa anavuta sigara nyingi kwa siku ili kujiskia vizuri baada ya mechi.Sarri ambaye ametimka Chelsea kwa kile kilichoelezwa ktokuwa na maelewano na mashabiki kutokana na mfumo wake kwa sasa yupo Juventus."Kwa siku navuta sigara 60, ninapokuwa mchezoni huwa sijiskii kuvuta lakini lakini mda mfupi baada ya mechi ni lazima nivute," amesema Sarri.

SIMBA YAFUATA KIUNGO URENO

0

BAADA ya kukamilisha usajili wa Wabrazil wawili, mabosi wa Simba wamepanga kushusha kiungo kutoka nchini Ureno atakayekuja kusaini mkataba wa kuichezea timu hiyo kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.Wabrazil waliowasajili Simba ni kiraka, Gerson Fraga Vieira, anayemudu kucheza beki na kiungo mkabaji na mshambuliaji, Wilker Henrique da Silva wote waliosaini miaka miwili.Simba, pia imefanikisha usajili wa kiungo mkabaji,...

MONDI AMPA MSALA KIBA!

0

DAR ES SALAAM: Weka pembeni nyimbo zake za mwaka huu za Tetema, The One na Inama, sasa ni zamu ya Kanyaga kutoka kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambao umesababisha kizazaa kwa hasimu wake kimuziki, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, Amani linafunguka. Mapema wiki hii, Diamond au Mondi aliachia wimbo huo ambao hadi juzi Jumanne mchana ulikuwa...

MASTAA YANGA WAANZA KUTUA AIRPORT

0

WACHEZAJI wapya wa Yanga na wale wa zamani wanatarajia kuanza kuingia nchini wiki hii kwa ajili ya kujiandaa na kambi ya timu hiyo inayotarajiwa kuanza rasmi Julai 7, mwaka huu jijini Dar es Salaam.Tayari Yanga imeshasajili nyota 10 wapya wakiwemo wazawa ambao ni Mapinduzi Balama, Abdulaziz Makame,Ally Ally, kwa upande wa wageni ni Patrick Sibomana, Sadney Urikhob, Issa Bigirimana...

MASHINE ZINGINE AFCON KUMALIZANA NA YANGA, BOSI ASAFIRI

0

TARAJIA kuiona Yanga bab kubwa kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, ni baada ya jana jioni bosi mpya wa usajili kupanda ndege na kwenda nchini Misri kwa ajili ya kukamilisha usajili wa wachezaji wanne wa Timu ya taifa, Taifa Stars.Yanga hivi sasa ipo kwenye mipango thabiti ya kukiimarisha kikosi chao kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu...

KMC WAINGIA ANGA ZA YANGA, ZAMPIGA PINI MIAKA MIWILI AIYEE

0

NYOTA wa Mwadui FC, Salim Aiyee amejiunga na kikosi cha KMC kwa kandarasi ya miaka miwili.Aiyee amefanya vema msimu wa mwaka 2018/19 ambapo amefunga jumla ya mabao 18 ndani ya Ligi Kuu.Awali alikuwa akihusishwa kujiunga na timu ya Yanga pamoja na timu moja iliyopo nchini Sweden ambako alishindwa kujiunga huko kwa kukosa paspoti.