NYOTA NANE YANGA MGUU NJE MGUU NDANI, PANGA LA ZAHERA LINAWAHUSU

0

IMEELEZWA kuwa Yanga kwa sasa hawataki utani kwani wamedhamiria kujenga kikosi imara kitakachorejesha furaha Jangwani hali iliyofanya wasajili nyota wakali.Miongoni mwa nyota ambao wamesajiliwa ndani ya Yanga ni pamoja na Juma Balinya, Aly Ally, Maybin Kalengo,Issa Sibomana na Patrick Bigirimana inawafanya waachan na nyota wengine ndani ya kikosi hicho.Usajili wa Yanga ambao umetikisa unampa kiburi Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera...

BABU TALE: ALIKIBA HANA HELA YA KULIPA ‘BODIGADI’, ALIFANYA ‘SHOO’ CLUB NDOGO

0

Meneja wa Msanii Diamond Platnumz afunguka kuhusu wasanii wa WCB kuwa na walinzi na kusema anayepinga kuwa na walinzi hana pesa ya kuwalipa.

ISHU NZIMA YA USAJILI YANGA ILIPOFIKIA, MIPANGO KABAMBE YAANIKWA – VIDEO

0

Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Mwenyekiti wake Mshindo Msolla, umetoa siku nne kwa wale wote wanaotumia nembo ya klabu kujinufaisha. Akiongea mchana wa leo Juni 28, 2019 makao makuu ya klabu Msolla amesema kwa wote wanaotengeneza jezi na vifaa vingine vya michezo waache mara moja.Msolla amesema kuwa itakapofika tarehe 30 mwezi huu, mtu yeyote atakayejihusisha na uuzaji wa jezi...

HATMA YA OKWI SIMBA YAFICHUKA MWENYEWE AFUNGUKA MAZITO, MPANGO MZIMA KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI

0

CHAMPIONI Jumamosi litakuwa na habari za kutosha juu ya usajili wa Simba, Yanga, Azam FC, Lipuli mpaka Ulaya usikubali kukosa

AZAM FC YASAJILI MAJEMBE MATATU, MSHAMBULIAJI MMOJA ALICHEZA SIMBA

0

SELEMAN Ndikumana, mshambuliaji kutoka Al Adalah ya Saud Arabia amejiunga na klabu ya Azam FC kwa kuasini kandarasi ya mwaka mmoja.Ndikumana raia wa Burundi ametua Azam FC baada ya kupendekezwa na Kocha Mkuu, Etienne Ndayiragije.Hii ni timu ya pili kuwahi kucheza nchini Tanzania, nyingine ikiwa ni Simba aliyochezea 2006, pia akiwa na uzoefu barani Ulaya, akipita Molde ya Norway na FK...

AC MILAN YAFUNGIWA KUSHIRIKI MICHUANO YA ULAYA

0

Klabu ya soka ya AC Milan ya Italy yenye makazi yake katika uwanja wa San Siro itatumikia kifungo cha mwaka mmoja kutokushiriki michuano ya Ulaya inayoandaliwa na Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) ikiwa ni Klabu Bingwa Ulaya na Europa Ligi.Klabu hiyo iliyomaliza katika nafasi ya tano kwenye ligi ya soka Italia, Serie A,  imekumbana na kifungo kutoka kwa...

RASMI HARUNA NIYONZIMA AACHANA NA SIMBA

0

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, amewaaga mashabiki wa timu hiyo na kuwashukuru kwa yote waliyoshirikiana kwa kipindi cha misimu miwili ndani ya klabu hiyo.Mkataba wa Niyonzima wa miaka miwili na Simba umemalizika hivi karibuni huku kukiwa hakuna dalili zozote za kuongezewa mkataba mpya na uongozi wa timu hiyo.Ikumbukwe kuwa, kiungo huyo alijiunga na Simba msimu wa 2017/18...

AJIBU PASUA KICHWA, AWAZIMIA SIMU MABOSI WA TP MAZEMBE

0

UNAAMBIAWA TP Mazembe, bado wamemkomalia nyota wa Yanga, Ibrahim Ajibu ambaye usajili wake uliingia doa kwa kushindwana kwenye malipo.Wakala wa TP Mazembe, Patrick Mazembe amesema kuwa bado Mazembe wanahitaji huduma ya mchezaji huyo ambaye msimu wa 2018/19 alikuwa ni kinara wa pasi za mwisho TPL baada ya kutoa jumla ya pasi 17."Mwanzo Ajibu alitusumbua kwa kutaka dau kubwa, kwa...