STARS YAPEWA RAI YA KUCHUKUA KIKOMBE MISRI, LAZIMA IFUATWE

0

AKILI na mawazo ya mashabiki wengi wa soka hapa nchini vyote vimehamia nchini Misri ambako michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) inatarajiwa kuanza leo Juni 21, mwaka huu.Kila mmoja hapa nyumbani naamini atakuwa akifuatilia kwa kina namna timu yetu ya taifa, Taifa Stars itakavyokuwa inafanya kwenye michuano hiyo tunayoshiriki kwa mara ya pili baada ya awali kushiriki mwaka...

KISA HEKARI 15 KWA TAIFA STARS, MAKONDA ATOA ONYO KALI KWA ‘WANAOHOJIHOJI’ – VIDEO

0

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameahidi kutoa eneo la hekari 15 kwa shirikisho la soka nchini (TFF) kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha soka.Makonda ameyasema hayo  wakati wa harambee ya kuichangia Taifa Stars iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ambako aliwaonya watu wanaohoji viwanja hivyo amevipataje.Hata hivyo, alisema yeye anapambana kuwaomba...

KIUNGO MBAO AWAKATAA YANGA MCHANA KWEUPEE!! – VIDEO

0

KIPINDI cha Spoti Hausi kimeendelea tena hewani ambapo wachambuzi wako wamekuletea mambo mengi, lakini kubwa ni uchambuzi wa kiungo wa Mbao aliyetajwa kuletwa Dar na Yanga.

MANARA: STARS HAIWEZI KUCHUKUA UBINGWA – VIDEO

0

Msemaji  wa klabu ya Simba Haji Manara ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya ushindi wa Taifa Stars amesema kuwa Watanzania tuisapoti Timu yetu ya Taifa stars huku akisema kuwa hana Imani kama timu ya Taifa itafika hatua ya fainali.

ROSTAM APINGA YANGA KUMILIKIWA NA MTU MMOJA, ASISITIZA LUHUSU SUALA LA UDHAMINI SI UFADHILI

0

Mwanachama na shabiki maarufu wa klabu ya Yanga, Rostam Aziz leo ametokea hadharani na kusema kswamba haungi mkono klabu yake kumilikiwa na mtu mmoja.Rostam ameyasema hayo leo mchana wakati akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam.Katika mkutano huo na waandishi, Rostam amesema hakubaliani na suala la mtu mmoja kumiliki klabu hiyo au kufadhili, badala...

MGUNDA WA COASTAL UNION ATAJA IDADI YA WACHEZAJI ATAKAOWASAJILI

0

KOCHA wa timu ya Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa kwa sasa kikosi chake kinahitaji kusajili wachezaji sita ambao wataongeza nguvu ndani ya kikosi hicho.Mgunda amesema kuwa ushindani msimu ujao utakuwa mkubwa tofauti na mwanzo hivyo ni lazima awe na kikosi makini kitakacholeta ushindani."Mpaka sasa bado mchakato wa usajili haujaanza ila hesabu ambazo zipo ni kuona kwamba tunasajili wachezaji...

YANGA WAIRAHISISHIA SIMBA KAZI KWA AJIBU, ARUHUSIWA KUONDOKA – VIDEO

0

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela,  leo Juni 20, 2019,  akiongea na wanahabari makao makuu ya klabu hiyo,  ametoa kauli kuhusu mchezaji Ibrahimu Ajibu, kwamba klabu hiyo inamtakia kila la heri popote anapotaka kwenda.“Mkataba wake unamalizika mwisho wa mwezi huu, mazungumzo yamefanyika na klabu imempa nafasi ya kuamua kama anapenda kubaki nafasi ipo, lakini kama anataka kuondoka klabu inamtakia...