BREAKING: KOTEI ASEPA SIMBA MAZIMA, APIGWA PINI MIAKA MITATU
TIMU ya Kaizer Chiefs imemsajili James Agyekum Kotei kwa mkataba wa miaka mitatu.Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25, amejiunga na Kaizer akitokea Simba SC.Usajili wa Kotei ndani ya kikosi hicho, unamaanisha kwamba Willard Katsande atatakiwa kujipanga kisawasawa kutetea nafasi yake.Kotei ni mchezaji wa pili kusajiliwa na Kaizer baada ya wiki hii mshambuliaji raia wa Zambia, Lazarous Kambole kujiunga...
MAYANJA ATAJA SABABU ZA KUTUA KMC, ATAJA ATAKAOWASAJILI
KOCHA mpya wa KMC, Jackson Mayanja amesema kuwa sababu kubwa iliyomfanya akubali kusaini klabu ya Halmashauri ya Kinondoni, KMC ni mfumo wa klabu hiyo kumvutia na ubora wa kikosi.Mayanja leo amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kukinoa kikosi hicho ambacho kilikuwa chini ya Etiene Ndayiragije ambaye kwa sasa yupo Azam FC."Nimekubali kusaini KMC kwa kuwa ni klabu yenye mfumo mzuri...
Yanga, Kaseke wanazungumza kuhusu dili jipya
YANGA SC bado wanahitaji huduma ya kiungo wa pembeni, Deus Kaseke ambaye mkataba wake unataraji kumalizika rasmi mwishoni mwa mwezi huu. Kaseke alijiunga Yanga kwa mara ya kwanza Juni, 2015 akitokea Mbeya City FC.Alishinda mataji ya ligi kuu msimu wa 2014/15, 2015/16 na 2016/17 kabla ya kutimkia Singida United ya Singida msimu wa 2017/18 ambako aliisaidia timu...
HAWA HAPA NYOTA WANNE WA YANGA KUJUA KAMA PANGA LITAWAHUSU WIKI HII
UONGOZI wa Yanga umesema wiki hii utaweka hadharani majina ya wachezaji watakaoachwa ili kuwapa muda wa kujipanga.Mpaka sasa bado kuna wachezaji ambao hawajua hatma yao ndani ya Yanga huenda wakajua mwisho wao kama watabaki ama kusepa mazima.Wachezaji hao ni pamoja naAnthony MatheoDeus KasekeHaji MwinyiMrisho Ngassa
MRITHI WA NDAYIRAGIJE NDANI YA KMC HUYU HAPA
IMEELEZWA kuwa kocha mpya wa KMC atakayerithi mikoba ya kocha Etiene Ndayiragije ambaye ametimkia Azam FC ni Jackson Mayanja.KMC kwa sasa wanatafuta Kocha Mkuu mwenye uzoefu na michuano ya kimataifa ambaye atakiongoza kikosi hicho ambacho kitashiriki michuano ya kombe la Shirikisho msimu huu.Habari za ndani zimeeleza kuwa kwa sasa kila kitu kimekamilika na muda wowote atatangazwa kuwa kocha wa...
BAADA YA SIKU 23, OKWI KUKINUKISHA SIMBA
HUKO ulipo weka kumbukumbu kabisa kwamba itakapofika Julai 19, straika wa Simba, Emmanuel Okwi ndiyo itakuwa siku ambayo ataanika juu ya mustakabali wake ndani ya kikosi hicho.Okwi amemaliza mkataba wake ndani ya Simba ambapo kwa sasa straika huyo amekuwa akichengachenga kusaini mkataba mpya ndani ya kikosi hicho.Mshambuliaji huyo ambaye kwa sasa yupo na timu ya taifa ya Uganda kwenye...
BALINYA AMTIKISA KAGERE BONGO
MSHAMBULIAJI mpya wa kikosi cha Yanga, Juma Balinya aliyesajiliwa na klabu hiyo kutoka Polisi ya Uganda, amefunguka kuwa moja ya malengo yake kwa msimu ujao ni kuhakikisha anarudia kitendo alichokifanya nchinikwao cha kuwa mfungaji bora.Balinya ni miongoni mwa nyota 10 wapya wa kikosi cha Yanga ambao wamesajiliwa kwa ajili ya msimu ujao.Mshambuliaji huyo msimu uliomalizika katika Ligi Kuu ya...
MNYARWANDA WA YANGA ATIMKIA ZAMBIA
KAMA Yanga hawatakaza uzi vizuri basi wapo mbioni kumkosa beki Mnyarwanda, Eric Rutanga ambaye wamekuwa wakimpigia hesabu kwa kiasi kikubwa kutokana na beki huyo kuwa njiani kutua Nkana FC ya Zambia.Rutanga ambaye anacheza nafasi ya beki wa kushoto, ni mmoja wa wachezaji ambao kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera anayetaka asajiliwe na mabosi wa timu hiyo kwa msimu ujao.Rutanga anayeichezea...
Kiungo wa Simba amwaga wino Namungo fc
Kiungo mshambuliaji John Mbise amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili kutumikia Wana wa Ruhangwa ya Lindi baada ya kuipandisha Ligi Kuu.John Mbisse aliepitia Simba kati ya mwaka 2014 na 2016 akiwa katika kikosi cha kina Mbaraka Yusuph, Idd Kipagwile, Issa Ngoa na Denis Richard.Baada ya kumwaga wino John Mbise alisema “Ni furaha kuendelea kubaki Namungo tena, ni...