KUPOTEZA MVUTO KWA KAGAME KUNA JAMBO LA KUJIFUNZA, BADO WACHEZAJI WANA DENI KWA TAIFA

0

TUMEONA timu mbili kubwa hapa bongo ambazo ni Simba na Yanga, zimejitoa mashindano ya Kagame Cup ambayo mtetezi wake ni Azam FC.Hapa kuna kitu cha msingi cha kujifunza kwa kamati ya mashindano ambayo ipo chini ya katibu Musonye kujitathimini na kuangalia wapi anapokosea hasa kwa upande wa maandalizi.Muda wa kujibizana kwa sasa sio wakati sahihi ni lazima kamati ikubali...

BEKI KISIKI YANGA AOMBA KWENDA ULAYA

0

BEKI wa timu ya Yanga, Abdallah Shaibu 'Ninja' amesema kuwa kwa sasa mipango yake ni kupata nafasi ya kucheza nje ya nchi ili kujaribu changamoto mpya.Ninja kwa sasa mkataba wake unakaribia kuisha ndani ya Yanga, ambapo Juni 15 siku ya kubwa kuliko mkataba wake unaelezwa kufika tamati."Mpira ni kazi yangu na ninajituma ili kuwa bora siku zote, kwa sasa...

KAMA WAMEKWATA KWA MAAMUZI YA KOCHA INAPENDEZA, TUINGE MKONO TIMU YETU YA TAIFA

0

MIAKA 39 si jambo jepesi kuamini kwamba ilikatika bila Taifa letu kuwa na mwakilishi kwenye michuano ya Afcon na hatimaye ndoto ya siku nyingi  imetimia sasa ni zamu yetu kuipeperusha Bendera.Ukizungumzia Taifa ni lazima liungane kwa ajili ya kuwapa sapoti vijana ambao wameaminiwa kupeperusha Bendera kwenye michuano ya Afcon ambayo inatarajiwa kuanza Juni 21 nchini Misri ambapo timu yetu...

MIMBA YA MPENZI WA DIAMOND YAWA GUMZO

0

ANAFICHA mimba! Ndivyo walivyosikika mashabiki waliomuona mchumba wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch kutokana na kuwa na tumbo kubwa hivyo kuibua gumzo kama lote kuwa ni mjamzito.Mara kadhaa Tanasha amekuwa na kigugumizi juu ya suala la kuwa na mimba ya Diamond akisisitiza muda ukifika ataweka wazi.Ishu hiyo iliibua gumzo kwa mara nyingine wikiendi...

HII HAPA LIST YA WACHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA WALIOTHIBITISHA KUSHIRIKI KUBWA KULIKO

0

1. Mwanamtwa Kihwelo 2. Mohamedi Kampira 3. Makumbi Juma4. Mohamedi Hussein5. Saidi Maulidi6. Kenny Mkapa7. Petar Tino8. Selemani Kabulu9. Ally Yusuph Tigana10. Sunday Manara11. Omari Husseni Kegan12. Bona Bruno13. Rajabu Tangale14. Abubakar See16. Kipanya Malapa17. Edibily Lunyamila 18. Buruhani Hemedi 19. Salum Kusi20. Salvatory Edward 21. Selemani Mkati22. Abeid Mziba23. Hamisi Kajumulo24. Shahabani Katwila25. Sekilojo Chambua 26. Peter Manyika27. John Mwansasu28. Mzee Abdallah29. Iddi Moshi30....

NDAYIRAGIJE AVUNA MIL 180 AZAM

0

FUNDI ni fundi tu. Ettiene Ndayiragije amesaini Azam Fc na jana ametambulishwa rasmi akilamba kiasi cha Sh 180 milioni.Ndayiragije alionyesha uwezo wake na Mbao badae akaibukia KMC na sasa Azam imemtangaza jana kuwa kocha wao mpya wa kuchukua nafasi ya Mholanzi, Hans van Der Pluijm.Kocha huyo Mrundi amesaini mkataba wa miaka miwili wa kutua Azam FC ambapo Spoti Xtra...

Kandanda.co.tz ipo pamoja na Taifa Stars

0

Kuanzia leo hadi michuano itakapomalizika ya kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2019, Inayofanyika nchini Misri, Logo ya Kandanda katika tovuti na kurasa zake za mitandao ya kijamii , Facebook, Instagram, Whatsapp na Twitter itakuwa na jezi ya Nyumbani na Ugenini ya Tanzania.Mbali na kuivaa jezi hiyo, wasomaji wetu watakuwa wanakumbushwa kila wakati kuwa hizi ndio jezi...

NI SIMANZI!! TARMBA AFIWA NA MTOTO WAKE MWINGINE USIKU HUU

0

Ndugu zangu, mtoto wangu mwingine Aliasgher Tarimba Abbas, amefariki muda huu.Maziko kesho saa 12.30 katika Msikiti wa Shia Ithnaasheri mjiniKaribuni tumsindikize mtoto wetu.Na Tarimba Abbas

YANGA YANASA KIFAA KIPYA KUTOKA ZANZIBAR, AZAM WAINGILIA

0

Imeelezwa kuwa klabu za Azam na Yanga  zimeanza kuwania saini ya mchezaji bora wa ligi kuu Zanzibar msimu 2018/19, Abdulswamad Kassim kutoka klabu ya Malindi.Tetesi hizi zimeibuka huku wawili hao wanashiriki Ligi Kuu Bara wakiwa na nia ya kuboresha vikosi vyao kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya.Ikumbukwe Yanga na Azam hazikufanikiwa kutwaa taji la ligi msimu uliomalizika siku...