POLISI TANZANIA YAPANIA KUPAMBANA TPL

0

UONGOZI wa kikosi cha Polisi Tanzania umesema kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kujipanga kisawasawa kwa ajili ya msimu wao wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara hivyo wanaanza na usajili makini utakaowafanya wawe imara.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Polisi Tanzania, Frank Lukwaro amesema kuwa kwa sasa wanaifanyia kazi ripoti ya kocha ambayo ndiyo muongozo kwa watakaowasajili."Ripoti...

AZAM FC: HATUJABAHATISHA KUTWAA FA, TULIJIPANGA KIUKWELI

0

KOCHA wa Azam  FC Idd Cheche amesema kuwa haikuwa bahati mbaya wao kutwaa ubingwa wa kombe la Shirikisho mbele ya Lipuli mchezo uliochezwa uwanja wa Ilulu, Lindi kwa kuwa walijipanga mapema na walitambua aina ya timu waliyokutana nayo.Azam FC watapeperusha Bendera ya Tanzania kimataifa baada ya kutwaa kombe la FA kwa mara ya kwanza baada ya kushinda bao 1-0...

TFF YAFAFANUA SABABU YA KMC KUPENYA KIMATAIFA

0

BAADA ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kuongeza nafasi mbili kwa nchi ya Tanzania kushiriki michuano ya kimataifa kwa msimu wa mwaka 2019/20 na nafasi hizo mbili kuchukuliwa na Yanga pamoja na timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) Shirikisho la Soka Tanzania, TFF limefafanua sababu ya KMC kupenya kimataifa.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa TFF, Cliford Ndimbo amesema...

UONGOZI SIMBA WATOA TAMKO JUU YA YANGA KUWA MOJA YA TIMU SHIRIKI CAF MSIMU UJAO

0

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi katika klabu ya Simba, Salim Abdallah 'Tyry Again' amesema ni faraja kubwa kwa Tanzania kupata timu nne zitakazoshiriki mashindano ya kimataifa msimu ujao ikiwemo Yanga.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) jana, ilisema kuwa Simba na Yanga zitashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika huku Azam na KMC zitacheza Kombe la...

HAJI MANARA AWACHANA YANGA, ASEMA SIMBA NDIYO IMEWAPELEKA CAF CHAMPIONS LEAGUE

0

Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, kuhusiana na kutoka kwa nafasi nne kwa timu za Tanzania kushiriki mashindano ya kimataifa Nafasi hizo zimetolewa na Shirikisho la Soka Afrika CAF

MAVUGO NA YANGA MAMBO SAAAAAFII

0

IMEFAHAMIKA kuwa mabosi wa Yanga wapo kwenye mazungumzo ya mwisho ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Napsa Stars FC ya nchini Zambia, Laudit Mavugo aliyewahi kuichezea Simba.Yanga chini ya Kocha Mkuu wa timu hiyo Mkongomani, Mwinyi Zahera wamepanga kukisuka kikosi cha timu hiyo ili msimu ujao wa Ligi Kuu Bara wauchukue ubingwa wa ligi unaoshikiliwa na Simba.Timu hiyo tayari...

SALAMBA AAMUA KUFUNGUKA, ATOA MSIMAMO WAKE SIMBA

0

Mshambuliaji wa Simba, Adam Salamba atabakia klabuni hapo kwa msimu ujao endapo kocha wake Patrick Aussems atamhitaji. Ingawa kwa hali ilivyo ni asilimia ndogo.Salamba amekuwa akitajwa kuwa moja ya wachezaji ambao wanawezwa kuachwa.Salamba amesema kuwa kusalia ama kutosalia ndani ya Simba msimu ujao hilo litabakia kwa Kocha wake.“Hilo la kubakia ndani ya timu kwa msimu ujao ni masuala ya...

Wakimataifa ni wanne msimu wa 2019/2020

0

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limethibitisha Tanzania kuwa. A timu nne (4) katika maahindano ya Kimataifa kwa msimu wa 2019/2020.Kwa taarifa hii inamaana timu mbili zitashiriki ligi ya mabingwa na mbili nyingine kombe la shirikisho.Nafasi hii imekuja baada ya Tanzani kushika nafasi ya 12 katika viwango vya ubora vya CAF.Kwa mujibu wa kanuni za Ligi...

BAADA YA ZALI KUWAANGUKIA YANGA NA KMC SIMBA WATOA TAMKO

0

BAADA ya Shirikisho la Soka Afrika kuthibitisha kwamba rasmi Tanzania itashirikisha timu nne michuano ya kimataifa kutokana na kukidhi vigezo hasa baada ya kushika nafasi ya 12 kwa ubora, uongozi wa Simba umetoa tamko kwa timu zitakazoshiriki.Kuongezeka kwa timu moja kila michuano inafanya Tanzania kufikisha jumla ya timu nne ambazo kwa upande wa Ligi ya Mabingwa ni Simba na...

NDONDO CUP KUMENOGA, BAKHRESA YAONGEZA NGUVU

0

MICHUANO ya Ndondo Cup msimu wa mwaka 2019 imezidi kunoga baada ya kampuni ya vinywaji ya Bakhresa tawi la Magomeni Icecream kuongeza nguvu ya udhamini kwenye michuano hiyo ambayo imejipatia umaarufu kwa sasa ikiwa na lengo la kuinua na kukuza vipaji itaanza Juni 17 mwaka huu.Akizungumza mbele ya waandishi wa Habari leo, Mwenyekiti wa Ndondo Cup, Shafii Dauda amesema kuwa...