KIMENUKA TENA! MAPACHA WA P-SQUARE KUBURUZANA MAHAKAMANI

0

Wasanii maarufu nchini Nigeria, ambao ni mapacha Peter na Paul Okoye (P-Square) huenda wakaburuzana mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuwa Paul ametumia picha ya mwenzake kwenye tangazo la tamasha lake nchini Angola.Peter ambaye ni mlalamikaji, amesema kuwa anatarajia kwenda mahakamani kumshtaki ndugu yake, Paul kwa kutumia picha zake kwa ajili ya kutangaza tamasha hilo la muziki.“Kwahiyo wameamua kutumia picha yangu...

SIMBA FULL SHANGWE LEO WABEBA KOMBE LAO LA 20 TPL

0

MABINGWA watetezi Simba leo wamekabidhiwa kombe la Ligi Kuu Bara na mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola baada ya kumaliza mchezo wao wa mwisho uliochezwa uwanja wa Jamhuri, Morogoro.Kwenye mchezo wa leo, Mtibwa Sugar wamelazimisha suluhu ya kutofungana wakiwa nyumbani wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza kwa kufungwa mabao 3-0 mchezo wa kwanza uliochezwa uwanja wa Uhuru.Huu...

Stand United yashuka rasmi daraja!

0

Timu ambayo ilikuwa inasubiriwa kushuka daraja kuungana na African Lyon imepatikana rasmi. Stand United ya Shinyanga rasmi wameshuka daraja baada ya kufungwa na JKT Tanzania kwa goli 2-0 na JKT Tanzania.Timu mbili ambazo zitacheza playoff (Michezo ya mitoano ) ni Kagera Sugar aliyeshika nafasi ya 18 na Mwadui FC aliyeshika nafasi ya 17.Mwadui na Kagera watacheza na...

RUVU YAKOMAA KUBAKI TP, MATOKEO NA TIMU ZILIZOSHUKA DARAJA HAYA HAPA

0

LEO Ligi Kuu Bara Tanzania ilikuwa inafika tamati ambapo mbivu na mbichi zimejulikana kuanzia bongwa na zile zitakazoshuka daraja.Bingwa ni Simba ambaye amemaliza ligi akiwa na jumla ya pointi 93.African Lyon na Stand United zimeshuka daraja moja kwa moja.Kagera Sugar ipo nafasi ya 18 ikiwa na pointi 44 ikiwa na tofauti ya mabao ya kufungwa ambapo Stand United wamefungwa...

NABY KEITA WA LIVERPOOL KUIKOSA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA DHIDI YA SPURS

0

Naby Keita wa Liverpool ataukosa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Tottenham kutokana na majeruhi.Keita alipata majeruhi hayo kwenye mchezo wa  nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Barcelona.Kiungo huyo huyo amesafiri na timu kwenye kambi ya Marbella na wachezaji wenzake kwenye maandalizi ya awali ya mchezo wa fainali.Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp amethibitiha kwamba...

TPL: YANGA 0-0 AZAM FC

0

MCHEZO wa sasa unaoendelea uwanja wa Taifa kati ya Yanga na Azam FC ni kipindi cha kwanza na hakuna ambaye ameliona lango la mpinzani wake.Mchezo huu una ushindani mkubwa kwa timu zote mbili ambazo zinatafuta heshima kwenye uwanja wa Taifa leo ikiwa ni mchezo wa mwisho kwa msimu huu.

KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA DHIDI YA YANGA

0

Kikosi rasmi cha Azam FC kitakachoanza leo dhidi ya YangaKikosi kitakachoanza16 Razak Abalora57 Lusajo Mwaikenda03 Daniel Amoah05 Yakubu Mohammed06 Agrey Moris (c)22 Salmin Hoza27 Mudathir Yahya08 Salum Abubakar07 Obrey Chirwa11 Donald Ngoma26 Bruce KangwaAkibaMwadini Mwasapili Mwantika DomayoPeter Lyanga Singano.

Mechi nne kufa na kupona Leo!

0

Mpaka sasa hivi African Lyon ndiyo timu pekee ambayo hatutokuwa nayo kwenye ligi kuu msimu ujao.Kwa utaratibu uliopo, timu zinazoshika nafasi ya 19 na 20 zitashuka moja kwa moja daraja na kwenda ligi daraja la kwanza.Timu mbili zitakazoshika nafasi ya 17 na 18 zitacheza Play Off dhidi ya timu ambazo zimeshiriki ligi daraja la kwanza , ambapo...