CHEKI TPL ILIVYO KWA MTINDO WA NAMBA

0

MEI 28 Ligi Kuu Bara ilifika tamati ambapo bingwa wa ligi msimu wa 2018/19 ni Simba baada ya kumaliza ligi akiwa na pointi 93.Timu mbili ambazo zimeshuka ni pamoja na Stand Unite na African Lyon huku mbili zitacheza playoff ambazo ni Mwadui FC itamenyana na Geita FC huku Kagera Sugar wakali wa takwimu watamenyana na Pamba ili kumpata mshindi...

NAMUNGO HAWATAKI UTANI WAANZA NA JEMBE LA ALLIANCE

0

UONGOZI wa Namungo FC yenye maskani yake Mtwara imemsajili mshambuliaji wa Alliance FC, Bigirmana Blaise kwa kandarasi ya mwaka mmoja.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Namungo, Kidamba Namlia amesema kuwa ni mpango wa mwalimu, Hitimana Thiery kupata wachezaji wenye uzoefu ambao wataipa nguvu safu ya ushambuliaji."Mpango uliopo kwa sasa ni kuboresha kikosi chetu, tumeanza na Blaise wengine wanafuata...

WASHINDI 24 WA SMARTPHONE KWENYE USIBAHATISHE CHEZA NA SPORTPESA

0

Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya SportPesa Tanzania imewazawadia simu za kisasa za mkononi (smartphone) 24 watanzania mbalimbali walioshinda katika promosheni ya Usibahatishe Cheza na SportPesa.Washindi hao ni Amran Samwel Mwanga, Jimmy Joseph, Frank Paulo, Juma Issa, Tiblus Dominik, Kassim Mbaga ambao wanatokea Dar es Salaam, Sebastian Mathias, Emmanuel Adebayo (Mwanza), Omary Mohammed, Yahaya Kindenge(Morogoro), Aliehas Butwah, Yohana Malimi (Geita) na Hawa Ramadhani,...

NIYONZIMA APEWA SOMO NA SAMAKIBA

0

KIUNGO fundi wa timu ya Simba Haruna Niyonzima amesema kuwa kitendo walichofanya Mbwana Samatta ambaye ni nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania na Ally Kiba kimempa somo kubwa hivyo atakipeleka Rwanda.Samatta na Kiba juzi walicheza mchezo wa hisani kupitia taasisi ya Sama Kiba Foundation ukiwa na lengo la kuhakikisha wanarudisha kile wanachokipata kwa jamii inayowazunguka.Akizungumza na Saleh Jembe,...

NAMUNGO KUSAJILI MAJEMBE 11, YUMO NA FUNDI WA BISAHARA UNITED

0

UONGOZI wa kikosi cha Namungo FC ya mkoani Mtwara ambayo imepanda daraja msimu huu umesema kuwa umejipanga kuwatangaza wachezaji wake wapya hivi 11 hii karibuni.Nurdine Barola raia wa Burkina Faso anayeitumikia Biashara United imeelezwa kuwa ni miongoni mwa mapendekezo ya mwalimu Hitimana Thiery ambaye alifanya naye kazi alipokuwa Biashara United huenda akawa sehemu ya watakaotangazwa. Ofisa Habari wa Namungo, Kidamba...

MSAFARA WA NANDY FESTIVAL WAPATA AJALI, MENEJA WAKE AFUNGUKA

0

Basi aina ya Coaster lililokua kwenye msafara wa kuelekea Nandy Festival Sumbawanga limepinduka Mikumi usiku wa kuamkia leo.Msafara huo ulikuwa na Wasanii Juma Nature, Whozu, Stamina,Nandy,Barnaba, Roma, Billnass, Ice Boy na Willy Paul.Maneja wa Nandy amesema Basi lililopata ajali kwenye msafara kuelekea Nandy Festival Sumbawanga lilikua limebeba Wapiga Band na Dancers na sio Wasanii, mpaka sasa Majeruhi wako Hospitalini...

KOCHA JULIO: YANGA NI TISHIO

0
Habari za Michezo

MAKOCHA wawili maarufu na wenye heshima kwenye soka la Tanzania, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ na Juma Pondamali wamekiri kwamba Yanga mpya itakuwa tishio. Julio na Pondamali wamejenga heshima ndani ya Simba na Yanga wakiwa kama wachezaji na makocha.Julio ametamka kwamba katika Ligi ya msimu uliopita akiambiwa ni Kocha gani bora atamtaja Mwinyi Zahera wa Yanga kwani hajawahi kukosea tangu aanze...

WAWA: NINAONDOKA BONGO

0

BEKI kisiki wa Simba mwenye mwili uliojengeka kimazoezi Pascal Wawa amesema kuwa kwa sasa anatarajia kuondoka bongo muda wowote kuelekea nchini Ivory Coast kwa ajili ya mapumziko mafupi.Akizungumza na Saleh Jembe, Wawa amesema kuwa baada ya kutwaa ubingwa ndani ya kikosi cha Simba ni muda mwafaka kwake kusepa kwenda nyumbani kupumzika ili kujiandaa kwa msimu ujao."Nashukuru, kwa kushirikiana na...

MLINZI WA SHULE ALIYEMUUA MWANAFUNZI AHUKUMIWA KIFO

0

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Moshi imemhukumu kunyongwa hadi kufa mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Scolastica, Hamis Chacha (30), baada ya kupatikana na kosa la kumuua mwanafunzi Humprey Makundi (16).Aidha, mahakama hiyo imewahukumu watuhumiwa wengine ambao ni mmiliki wa shule hiyo, Edward Shayo (65),  na aliyekuwa mwalimu wa zamu, Labani Nabiswa (39) raia wa Kenya, miaka minne jela kila...

TFF, SIMBA WAJICHANGANYA KUHUSU SHOMARI KAPOMBE

0

KUFUATIA taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa Shrikisho la Soka Tanzania (TFF), Cliford Ndimbo kueleza kuhusu hali ya beki wa timu ya Simba na timu ya Taifa Stars, Shomari Kapombe kwamba amejitonesha majeraha yake Ofisa Habari wa Simba Haji Manara ameibuka na kuhoji kuhusu ukweli.Ndimbo alisema kuwa wachezaji wa Stars wameanza mazoezi ambapo watafanya mazoezi kwa muda wa wiki...