HIMID MAO ACHEKELEA CHANGAMOTO MPYA NDANI YA MISRI
HIMID Mao amesema kuwa ana furaha kwa sasa kuanza changamoto mpya ndani ya kikosi cha ENNPI kwa kandarasi ya miaka miwili.Mao ambaye ni nahodha...
SIMBA: TUMEFUNGA HESABU KISHUJAA AFRIKA KUSINI
PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa uwezo wa wachezaji wake umeimarika hivyo ana imani kubwa watakuwa na kitu cha kipekee msimu ujao.Simba...
HUYU NDIYE MWILI JUMBA ALIYESHUSHWA NA YANGA KUCHUKUA NAFASI YA MAKAMBO
USIKU wa kuamkia leo klabu ya Yanga imeshusha mashine mpya kwa ajili ya kukamilisha usajili wake wa mwisho kabla ya dirisha la usajili halijafungwa...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la CHAMPIONI Jumatano
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano
KOCHA STARS:TUNAKWENDA KUPINDUA MEZA KIBABE KENYA
ETTIENE Ndayiragije Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' amesema kuwa sare waliyoipata sio mbaya wanakwenda kupindua meza nchini Kenya.Stras...
YANGA: KWA KIKOSI HIKI, MSIMU UJAO TUTAKUWA JUU ZAIDI
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ameona namna wachezaji wake wanavyocheza na kujituma hivyo ana imani msimu ujao watakuwa juu zaidi ya...
MAPILATO WA AZAM FC KIMATAIFA HAWA HAPA
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limechagua waamuzi kutoka nchini Sudan kuchezesha nchezo wa raundi ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Azam...
FRIENDS RANGERS YAKUBALI MUZIKI WA YANGA, SIBOMANA APEWA SALUTI
ELLY Mzozo, Kocha Mkuu wa kikosi cha Friends Ranger ya Morogoro amesema kuwa wachezaji wa Yanga wana ukomavu mkubwa na msimu ujao wataleta ushindani.Friends...
AZAM FC KAMILI GADO KUWAVAA WAETHIOPIA KIMATAIFA
KIKOSI cha Azam FC kimeendelea na maandalizi ya kukata na shoka kwa ajili ya michuano ya kimataifa pamoja na Ligi Kuu Bara.Azam FC ambao...












